dog 1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 301
- 835
Hahaaaaa[emoji16][emoji16] ndio maana nasema ktk madereva wazuri ni hawa wa madaladala.. hasa wale wa enzi za DCM. chuma ina gia kama Mfagio yaan gia inakuzidi urefu alafu handling ngumu, breki hakuna.. alaf alipokaa ni karibu na Injini.. joto lote linamuingia mwilini.. unakuta juu ya Dashboard katupia chupa ya maji ipo hapo stand-by kusubiri kipi kitaanza kuchemsha.. Yeye au Gari.