t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Kutenganisha movement ya flywheel na gearbox,Kazi ya CLUTCH ni nini? Primary task.
Gari inapokuwa stationary engine inakuwa inazunguka( flywheel) na gearbox ipo neutral, unapoweka gear maana yake unaruhusu mzunguko kwenda kwenye drive shaft, clutch ipo pale ili kufanya smooth transition, lakini gari likiwa kwenye movement huitaji tena negotiatiation ya clutch bali unacheza tu na ratio.