Escobber pablo
JF-Expert Member
- Jun 17, 2024
- 302
- 695
πππUmefanya nikumbuke police test yule mama alinifanyia hichi kitu nikabaki nimesimama nikawasha na hazardClutch ina principles zake.. ukanyagaji hakikisha pedal inafika mwisho..
Uondokaj ktk sehem flat ni kawaida.. kimbembe ktk milima au miinuko alaf nyuma kuna gari mbele gari ndio utajua Maharage ni mboga au futari.
Ukikanyaga mafuta mengi ukarusha mguu ktk clutch unaparamia gari la mbele.. ukikanyaga Clutch bila brake chuma inarudi nyuma.. π mboga moto ugali moto.uππποΈ
109 haikuwahi kumiliki handbrake wala brake za uhakika, hizo brake za kusimama lazima u pump mara mbili au tatu ndo inakuwa juuMa pro tunatumia handbrake na kusoma RPM tu..
unafeel unaendeshaKatika gari napenda kuendesha ni manual kuliko automatic sijui kwanini.
Ila siri kuu ya kubalansi clutch ni practice mkuu.
Nik weli kabisaunafeel unaendesha
ππ ndio maana nasema ktk madereva wazuri ni hawa wa madaladala.. hasa wale wa enzi za DCM. chuma ina gia kama Mfagio yaan gia inakuzidi urefu alafu handling ngumu, breki hakuna.. alaf alipokaa ni karibu na Injini.. joto lote linamuingia mwilini.. unakuta juu ya Dashboard katupia chupa ya maji ipo hapo stand-by kusubiri kipi kitaanza kuchemsha.. Yeye au Gari.πππUmefanya nikumbuke police test yule mama alinifanyia hichi kitu nikabaki nimesimama nikawasha na hazard
Hata mimi naitumia hii, RPM ikifika 2000...2500 nalegeza hand brake chuma inapandaMa pro tunatumia handbrake na kusoma RPM tu..
Manual za diesel zinavumilia sana malena. Haizimiki hovyo hovyo. Gia namba moja inaondoa gari bila kukanyaga mafuta.Unaskia harufu ya clutch tu unajua hapa kimeumana [emoji16].. huku na huku na gari lenyewe linazima.. MANUAL hazina uvumilivu kwa Malena.
Ni kweli kabisa Mkuu.. kuna Nissan Patrol nilikuwa naitumia.. kwanza ZITO alafu ukiengage gia ukiw unaachia clutch na yenyewe inaondoka.. bila wese.. ingaw zipo petrol zinazofanya hivyo.Manual za diesel zinavumilia sana malena. Haizimiki hovyo hovyo. Gia namba moja inaondoa gari bila kukanyaga mafuta.
Sijawahi kugusa manual ya petrol mkuu. Kama nazo zinauwezo huo kumbe ziko fresh pia.Ni kweli kabisa Mkuu.. kuna Nissan Patrol nilikuwa naitumia.. kwanza ZITO alafu ukiengage gia ukiw unaachia clutch na yenyewe inaondoka.. bila wese.. ingaw zipo petrol zinazofanya hivyo.
Duuh... Nyie ndio mnaoua GearBox siku mbili tu ππ imagine umempa mwamba gari yako wiki nzima..Dereva mzuri hahitaji kutumia clutch unapoendesha gari manual, clutch inatumika wakati wa kuondoka baada ya gari kusimama au wakati wa kusimama ila ikiwa kwenye motion unacheza tu na RPM unapanga gia bili clutch
Hii kitu inaitwa uzoefu,huwezi kuuelezea kwa mandishiNi kwa miaka zaidi ya 15 gari pekee nazoendesha ni automatic
Gari za manual nazipenda ila napata shida kubalance klachi na moto wakati wa kubadili gia.
nikiachia klachi nikianza kukanyaga moto wakati nabadili gia, gari inaruka ruka.
Tupeane ujuzi na tips
Usikariri bro clutch ni muhimu wakati wa kuondoka na kusimama tu, gari ikiwa kwenye mwendo Gearbox inakua salama zaidi kama utakua mtaalam wa kucheza na RPM hapo gia zinaingia vizuri tu, Gari manual nimeanza kuziendesha tangu olevel na sasa gari nayotumia ni manual niko nayo mwaka wa nne mara nyingi situmii clutch kubadili gear ikiwa kwenye motion na Gearbox kila siku kama mpyaDuuh... Nyie ndio mnaoua GearBox siku mbili tu ππ imagine umempa mwamba gari yako wiki nzima..
tatzo la manual hazina starehe ya safari, auto dreva unarelax sanaMadereva wa gari za manual mtakubali kwamba manual ni gari tamu sana...tena sana. Kuna muda nikiendesha auto sijisikii vizuri naona sifurahii kuendesha gari.
Moja ya vitu vitamu ni kuamua moto wa kutoka nao hasa unapoingia barabara kubwa.