Ni ipi siri ya kuweza kubalance klachi kubadili gia kwenye gari za manual

Hahaaaaa

 
Ni gari zipi hizo zinazokubali gia bila clutch?
 
Bila shaka haujui kazi ya CLUTCH ni ipi, umeivika kofia ya BRAKES na THROTTLE.. hasa hapo uliposema:

Usikariri bro clutch ni muhimu wakati wa kuondoka na kusimama tu,

Inawezakana kwa techniques like Rev Matching ingawa clutch less maneuvering sio recommended kwa afya ya gearbox..

ingekuwa ni salama basi gari za manual zingewekewa mfumo wa kuzima clutch engagement kama ilivyo ktk mfumo wa 4WD na 2WD kwenye gari za 4x4.

Ukishajua ufanyaji kazi wa clutch haina haja ya kupigizana kelele..
 
Na sio clutch zote lazima ulanyage mpaka mwisho, kuna gari nyingine clutch zake bado fresh, ni kugusa kiasi tu, na gear inaingia bila tabu.
 
Kazi ya clutch ni kutenganisha engine na gearbox hivyo ni lazima uitumie wakati wa kuondoa ila gari ikiwa kwenye motion unauwezo wa kubadili gia bila clutch kwa sharti moja ujue kucheza na RPM tu gia inaingia kiulaini isipokua kwenye milima ni muhimu kutumia clutch ukiwa una engage gear
 
Na sio clutch zote lazima ulanyage mpaka mwisho, kuna gari nyingine clutch zake bado fresh, ni kugusa kiasi tu, na gear inaingia bila tabu.
Clutch inakuwa adjusted mpaka mwisho, kukanyaga clutch partially sio sahihi maana manufacturer hajatengeneza clutch ikanyagwe nusu, gia zitaingia utatembea sawa ila clutch haitakuwa na maisha marefu, soon u will need to replace it
 
Dereva mzuri hahitaji kutumia clutch unapoendesha gari manual, clutch inatumika wakati wa kuondoka tu baada ya gari kusimama au wakati wa kusimama ila ikiwa kwenye motion unacheza tu na RPM unapanga gia bila clutch
Hiyo inaitwa "floating" nikiwa naendesha manual ndio driving style yangu maana angalu mguu wa kushoto unapumzika,
Eaton fuller gearbox does best with floating kuliko kutumia clutch when shifting.
 
Clutch inakuwa adjusted mpaka mwisho, kukanyaga clutch partially sio sahihi maana manufacturer hajatengeneza clutch ikanyagwe nusu, gia zitaingia utatembea sawa ila clutch haitakuwa na maisha marefu, soon u will need to replace it
Kazi ya clutch pedal ni kutenganisha flywheel na clutch disc, kadiri clutch disc inavyoisha clutch pedal inaweza kutenganisha ikiwa juu kabisa, sio kosa kabisa kukanyaga clutch pedal nusu, maana inategemeana na ubora wa clutch disc.
 
Duuh... Nyie ndio mnaoua GearBox siku mbili tu 😁😁 imagine umempa mwamba gari yako wiki nzima..
Yupo sahihi kabisa, gearbox ni ratio tu scania opticruize gearbox in aoperate on exact principle, clutch wakati wa kuondoka tu baada ya hapo inafanya floationg, clutch less gear engagement, na hizo gearbos huwa zinadumu hadi km milion kadhaa.
 
Mfano kuna Cruiser flan hiv hardtop.. ktk dashboard hakuna RPM je ktk situation kama hiyo unajuaje kwamba hapa gari ipo ktk RPM kadhaa hivyo nitumie clutchless gear engagement?... au utaskiliza kwa mvumo wa engine..? Ikumbukwe kuna gari zipo silent hazivumi sana mpk high RPMS kwenye 6k huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…