Kutenganisha movement ya flywheel na gearbox,Kazi ya CLUTCH ni nini? Primary task.
Hizi tachometer zimekuja juzi juzi tu, dereva sahihi atatumia muungurumo wa engine kujua rotation, anaweza asijue exact rpm, lakini atajua wakati sahihi kama engine imeelemewa au la.Mfano kuna Cruiser flan hiv hardtop.. ktk dashboard hakuna RPM je ktk situation kama hiyo unajuaje kwamba hapa gari ipo ktk RPM kadhaa hivyo nitumie clutchless gear engagement?... au utaskiliza kwa mvumo wa engine..? Ikumbukwe kuna gari zipo silent hazivumi sana mpk high RPMS kwenye 6k huko.
Basi ingekuwa hivyo.. clutch ingewekwa kama mfumo wa handbrake... yaan just incase..Kutenganisha movement ya flywheel na gearbox,
Gari inapokuwa stationary engine inakuwa inazunguka( flywheel) na gearbox ipo neutral, unapoweka gear maana yake unaruhusu mzunguko kwenda kwenye drive shaft, clutch ipo pale ili kufanya smooth transition, lakini gari likiwa kwenye movement huitaji tena negotiatiation ya clutch bali unacheza tu na ratio.
Hizi tachometer zimekuja juzi juzi tu, dereva sahihi atatumia muungurumo wa engine kujua rotation, anaweza asijue exact rpm, lakini atajua wakati sahihi kama engine imeelemewa au laMfano kuna Cruiser flan hiv hardtop.. ktk dashboard hakuna RPM je ktk situation kama hiyo unajuaje kwamba hapa gari ipo ktk RPM kadhaa hivyo nitumie clutchless gear engagement?... au utaskiliza kwa mvumo wa engine..? Ikumbukwe kuna gari zipo silent hazivumi sana mpk high RPMS kwenye 6k huko.
Nina gari ni Sport bila clutch huweki gia.. itakupigia kelele. (Siwek gia bila clutch, hii inatokea ikiwa sijakanyaga mpk mwisho)Hizi tachometer zimekuja juzi juzi tu, dereva sahihi atatumia muungurumo wa engine kujua rotation, anaweza asijue exact rpm, lakini atajua wakati sahihi kama engine imeelemewa au la.
Braza mi pia ni muhanga, ukiacha chombo chochote cha manual nyumbani hata uende mwezini na kurudi utakikuta kama kilivyo 🤣🤣🤣 zaidi vumbi litakuwa limetawala. Hata kikiwa full tank utaikuta.Nilijua ni mlimani ndo ingekusumbua mimi nagonga manual safi ila initially nilikua lena kama wewe😀😀 gari inazima zima hovyo
Scania opticruize inatumia clutch wakato wa kuondoka tu, na imekuwa documented had kwenye manual books.Basi ingekuwa hivyo.. clutch ingewekwa kama mfumo wa handbrake... yaan just incase..
Ila primary task ni kufungua hiyo gearbox meno yaumane kulingana na RPM husika.. nje ya hapo unaua gearbox bila kujua.
So far kwan kukanyaga clutch kuna uzito gani mpk uingize gia kavu kavu?
Inawezekana siwezi kukubishia ila gati nyingi za heavy duty zinafanya floating.Nina gari ni Sport bila clutch huweki gia.. itakupigia kelele. (Siwek gia bila clutch, hii inatokea ikiwa sijakanyaga mpk mwisho)
Na RPM kutoka 1k kwend 9k ni milliseconds tu.. hasa ktk 1st gear, kwa gari kama hii unaanzaje kuweka gia bila clutch?
Sasa mkuu opticruize unayozungumzia hapa ni semi automatic na imekuwa designed kuweka gia bila kutumia clutch pedal.Scania opticruize inatumia clutch wakato wa kuondoka tu, na imekuwa documented had kwenye manual books.
Ungewahi kuendesha ungeona jinsi inavo engage gear kwa kutumia rpm.
Na siri ndio ipo hapa easy as 1 2 3Ma pro tunatumia handbrake na kusoma RPM tu..
Mkuu wangu hizi opticruize siyo mfano sahihi kwenye huu mjadala...Yupo sahihi kabisa, gearbox ni ratio tu scania opticruize gearbox in aoperate on exact principle, clutch wakati wa kuondoka tu baada ya hapo inafanya floationg, clutch less gear engagement, na hizo gearbos huwa zinadumu hadi km milion kadhaa.
MlimaMkuu wangu hizi opticruize siyo mfano sahihi kwenye huu mjadala...
Hapa ungezungumzia scania zenye manual transmission ingekuwa vyema!!
Kwa uzoefu wangu mdogo, usipofikisha clutch mwisho gear zinalia sembuse kutotumia clutch kabisa?
Na kwa gari zenye split button unawekaje gear bila clutch pedal?
Raha ya manual n kukanyaga clutch kuwa active mda wote Kwan kuna uzito gan ushindwe kukanyaga clutchDereva mzuri hahitaji kutumia clutch unapoendesha gari manual, clutch inatumika wakati wa kuondoka tu baada ya gari kusimama au wakati wa kusimama ila ikiwa kwenye motion unacheza tu na RPM unapanga gia bila clutch
Mkuu umezunguka wee ila bado umerudi palepale!!Mlima
Opticruize ni mfano sahihi kabisa, infact opticruize ni ile ile gearbox ya manual, isipokuwa inakuwa modified na kutumia solenoids,scania hadi leo hii hawajatengeneza geabox ya auto peke yake, huwa wanatengeneza geabox manual halafu wanongezea vitu kwa ajili ya automation.
Ukiwa na manual 12 speed gearbox ya scania unaweza kuifanya opticruize na vice versa.
Kwa gari zenye splitter gear intakiwa uelewe slipt gear ni nusu gear, ndo mana inayoitwa gear 12, kiuhalisia ina matundu 3. Kule ndani ina gear 3 tu ambazo multiplication yake inafanyika kwenye planetary gear na split gear.
Unaendesha vizuri tu gari ya gear 12 bila kutumia clutch between gear changes, maana ufatumia gia 3 za low na 3 za high range.
Hii gearbox yenye gia 12, ukiamua kuendesha kwa kufuata mtiririko bado huna namna ya kukwepa clutch!! Bila clutch, splitter ni functionless..Mlima
Opticruize ni mfano sahihi kabisa, infact opticruize ni ile ile gearbox ya manual, isipokuwa inakuwa modified na kutumia solenoids,scania hadi leo hii hawajatengeneza geabox ya auto peke yake, huwa wanatengeneza geabox manual halafu wanongezea vitu kwa ajili ya automation.
Ukiwa na manual 12 speed gearbox ya scania unaweza kuifanya opticruize na vice versa.
Kwa gari zenye splitter gear intakiwa uelewe slipt gear ni nusu gear, ndo mana inayoitwa gear 12, kiuhalisia ina matundu 3. Kule ndani ina gear 3 tu ambazo multiplication yake inafanyika kwenye planetary gear na split gear.
Unaendesha vizuri tu gari ya gear 12 bila kutumia clutch between gear changes, maana ufatumia gia 3 za low na 3 za high range.
Hii gearbox yenye gia 12, ukiamua kuendesha kwa kufuata mtiririko bado huna namna ya kukwepa clutch!! Bila clutch, splitter ni functionless..
Hata ukisema uskip matumizi ya splitter ili uzunguke 3 low na 3 high bado utaishia kuliza gear tu..
Scania huwa haidanganyi mkuu, utaforce kufloat lakini ile 'kweeeeee ' sound itakuumbua tu..
Hadi maji ya kunawa ni motoClutch ina principles zake.. ukanyagaji hakikisha pedal inafika mwisho..
Uondokaj ktk sehem flat ni kawaida.. kimbembe ktk milima au miinuko alaf nyuma kuna gari mbele gari ndio utajua Maharage ni mboga au futari.
Ukikanyaga mafuta mengi ukarusha mguu ktk clutch unaparamia gari la mbele.. ukikanyaga Clutch bila brake chuma inarudi nyuma.. 😁 mboga moto ugali moto.