Ni ipi siri ya kuweza kubalance klachi kubadili gia kwenye gari za manual

Mkifika zile za half clutch mniambie! Hapo bado hatujakwenda kwa wazee wa tonge nyama!!
 
Kwamba unataka mtu akuelekeze namna ya kuendesha manual huku jf?
 
Hii nilifundishwa namna ya kubalance katika uondokaji wake.
 
Mkuu, hii clutch less gear engagemet si dhambi, ni common sana huko america na jamaica, na truck huwa xina last almost forever.
Kiuhalisia inabidi uijue ratio za speed na rotation ya engine vizuri ili uweze kufanya floating.
Ntaongelea opticruize maana ndio reference yangu na nimeendesha sana, yes ile i aitwa semi automatic, maana gearbox yote ni manual kule chini kinachoifanya iitwe semi ni ile gear comandor pale juu. Operstion ya opticruize( 12 speed) inategemea confirmatiom switch 4,, pamoka na speed sensor 1 ambayo ipo kwenye planetary gear. Kwa 8 speed opticruize huwa ina confirmation switch 2 pamoja na speed sensor 1. Then kuna clutch pedal up switch na clutch pedal. Down confirmation swtch. Ili opticruize ifanye kazi ni lazima ijue speed ya gari, pamoja na rotation ya engngine (Rpm),baada ya kujua hiyvo, system hurekebisha engine rpm ili iendane na speed ya gearbox. mtego upo hapa, unapofanya gear changes labda kutoka 1 kwenda 2, opticruize huwa inatoa mamlaka ya acc pedal kutoka kwa derava na hurudisha mamlaka hayo baada ya gear kuingiia, sababu ya kufanya hivo ni ili ihakikishe rpm za engine zinafanana kabisa na speed ya gearbox ndo mana kuna wakato huwa ina pandisha rpm na kuna wakati itamaintain rpm na kuna wakati itaweka engine brake ili kupunguza Rpm between gearchanges. Hakuna namna opticruize inaeza liza geat gear scratching, kwa sababu huwa inasoma parameter hizo nilizokutajia kabla haijainhiza au kutoa gia.
Turudi kwenye floating, ukishajua rpm na speed ambayo opticruize inakuwa comfortable kufanya gear changes, basi unaeza endesha bila clutch bila shida.
 
Mkuu hii 12 speed naendeaha bila clutch ikiwa loaded with 32 tones na hutasikia gear kulia, changes down za kupanda na kushuka milima ya ruvuma, truck ni ya mwaka 2000, ilikuja bongo mwaka 2017 na hadi leo ipo kwenye original gearbox.
Natumia clutch wakati wa kuondoka tu. Na labda kama nataka ku splithttps://youtu.be/SHWVhnTWhZ8?si=liRCOWhTOqv7jqjr
 
Dereva mzuri hahitaji kutumia clutch unapoendesha gari manual, clutch inatumika wakati wa kuondoka tu baada ya gari kusimama au wakati wa kusimama ila ikiwa kwenye motion unacheza tu na RPM unapanga gia bila clutch
Kabisa mkuu, mie clutch ni ya kuondokea tu.
 
Hii ndio nasikia Leo mkuu.


Nina gari ni Sport bila clutch huweki gia.. itakupigia kelele. (Siwek gia bila clutch, hii inatokea ikiwa sijakanyaga mpk mwisho)

Na RPM kutoka 1k kwend 9k ni milliseconds tu.. hasa ktk 1st gear, kwa gari kama hii unaanzaje kuweka gia bila clutch?
Hapo issue ni mguu wako tu kwenye mafuta, unakadiria. Na perfect timing ya kutupia gear kavu kavu ni wakat RPM inarudi chini.
 
Kama clutch tu inakushinda vipi ukikutana na Gari aina ya Fiat mkasi juu mkasi chini Dereva Unaendesha Gari kama unagombana nalo
Udereva wa zaman ulikuwa mgumu sana
Kuna video jamaa anaipiga hiyo Fiat mkasi juu, mkasi chini bila kutumia clutch.
 
Hii inakufaa mleta mada.
 

Attachments

  • Benjamin-Battles_20250114_3.mp4
    18 MB
Unaskia harufu ya clutch tu unajua hapa kimeumana 😁.. huku na huku na gari lenyewe linazima.. MANUAL hazina uvumilivu kwa Malena.
Njia pekee ya kuwa dereva pro kwenye gari za Manual ni kuendesha mara kwa mara mpaka upate uzoefu
 
Madereva wa gari za manual mtakubali kwamba manual ni gari tamu sana...tena sana. Kuna muda nikiendesha auto sijisikii vizuri naona sifurahii kuendesha gari.
Moja ya vitu vitamu ni kuamua moto wa kutoka nao hasa unapoingia barabara kubwa.
Feeling ya kuendesha gari za manual sio ya kawaida. Madereva tunakuelewa sana
 
Kwa hilo ni mind set na ushap wako
Akili iambie miguu ifanye maamuzi haraka na miguu ifnye hivyo Haraka
 
unakuwa humalizi kuachia clutch yote pale unaporudi kwenye mafuta baada ya kumaliza kuweka gia.

NB: Gari ikiwa kwenye mjongeo unaweza ukaweka gia na ukaachia clutch bila kugusa mafuta na ikaendelea kwenda. Haina haja ya we kuoanisha clutch na mafuta unapobadili gia gari inapokuwa kwenye mjongeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…