😳😳😂😂😂😂😅Sawa..ngoja nivunje ungoo
Hii tabia husababishwa na wazazi na baadhi kaka zao wenye akili za kiwendawazimu.Hakuna kama mtu unamuoa ukimpiga au mkiwa mnagombana anakwambia acha niende kwetu sijau hapo kuna uvumilivu?
Haya ndio unataka ndoa za leo zidumuHii tabia husababishwa na wazazi na baadhi kaka zao wenye akili za kiwendawazimu.
Siku moja nilihudhuria send off ya binti mmoja,ktk process za kukamilisha taratibu za kukabidhiana mke akaitwa kaka mtu ile mbuzi ikasema inamwambia mshenga wa jamaa "sisi dada yetu tumewakabidhi akiwa hana hata kovu moja tunataka akiwa anakuja nyumbani kutusalimia awe hivi hivi,dada ukiona huko maisha magumu nyumbani kwako kupo rudi"
Mzee wao alipopewa nafasi alisema pale pale clearly kabisa kwamba "wewe (jina) umeamua kuanzisha maisha na (jina) hakuna aliyekulazimisha hivyo tukitoka hapa kile chumba chako kitapangishwa au kufanywa store pale usirudi ishi kwako na mumeo kama mama yako alivyokaa hajawahi kurudi kwao"
watu kama hawa leo hawapo au wapo lakini kwa makusudi wanaamua kwenda nje ya rules za maisha.
Hauvunjiki..sijui whykumbe bado? unangoja nini😀
na umri unazidi kusogea 😂Hauvunjiki..sijui why
Pia walikuwa ni wanaume kamili kwa wake zaoUvumilivu na kutochukulia makosa pia upendo wa dhati
Cc Zemanda [emoji846]Mpaka akili zitakapowarudi vijana na kukubali kwamba "mwanamke aliumbwa kwa ajili ya kuwazalia watoto na kukaa nyumbani wakiwatunza huku wao wakienda kutafuta mkate wa familia na siyo wasaidizi wao wa kuwatafutia hela ya ada au ujenzi" ndiyo watapata utulivu walioupata babu zao,leo kijana kichwani anawaza kutafuta mke wasaidiane maisha msaidiane maisha na mwanamke kwenye uchumi hii mliisikia wapi?
Siyo ndoa tu,leo angalia hata watoto wengi waliozaliwa baada ya Beijing conference hawa wamekuwa changamoto kwenye malezi baada ya kuwa mama anataka akatafute hela yake baba nae aende akatafute so wamelelewa na ma-house maids ambao hata mtoto akifanya kosa kubwa kiasi gani la kimaadili hazingatii maana mtoto akiharibika siyo wake.
Tupo leo na kizazi cha vijana kukataa ndoa mabinti nao kuvua vua chupi hovyo,kama binti kipindi akiwa mtoto alishuhudia dada yake (house girl wao) akipigwa mpini sebuleni na muuza genge (maana hawa ndiyo wabaya kwa wafanyakazi wa ndani huko mitaani) leo ataona ajabu gani kuvua nguo hovyo afanye ngono?na huko kugongwa kuna mawili apate mimba awe singo mama au ukimwi,hii yote sababu wakati alipokuwa anahitaji msingi wa malezi ya mama yake huyu mama alikuwa ameenda kutafuta pesa.
NB;oweni std 7,form 4&6 muhimu mke ajue kusahihisha homework za watoto the rest fanyeni wenyewe.
Mkuu Sina la ziada yote niliyotaka kuongea umeyasema kiufupi umeongea ukweli mtupu .Kiufupi mwanamke kiasili ni housewife wa kulea mume na watoto na kufanya kazi za nyumbani hayo mengine ni kwenda against nature.Mpaka akili zitakapowarudi vijana na kukubali kwamba "mwanamke aliumbwa kwa ajili ya kuwazalia watoto na kukaa nyumbani wakiwatunza huku wao wakienda kutafuta mkate wa familia na siyo wasaidizi wao wa kuwatafutia hela ya ada au ujenzi" ndiyo watapata utulivu walioupata babu zao,leo kijana kichwani anawaza kutafuta mke wasaidiane maisha msaidiane maisha na mwanamke kwenye uchumi hii mliisikia wapi?watu mmekua mkiwaona mama zenu nyumbani kila siku wanawaogesha na kuwapikia huku baba zenu wakitoka kila siku na kurudi usiku leo mnataka ninyi na wake zenu mtoke wote alfajiri mrudi usiku eti ndiyo maisha yanavyotaka huku mwanaume unayejiita msomi ukiiacha damu yako ilelewe na mtu ambaye hata unasaba nae wa kabila huna kisa eti mimi na mke wangu tunawatafutia watoto wetu maisha baadae wasipate shida,ndiyo hao leo wanageuka mashoga nani ataendeleza uzao wako?
Kwamba kwa sababu mna visomo vichwani basi wazee wenu kuacha mama zenu nyumbani wawatunze wao walikuwa outdated nyie ndiyo mpo smart zaidi!na siyo ndoa tu,leo angalia hata watoto wengi waliozaliwa baada ya Beijing conference hawa wamekuwa changamoto kwenye malezi baada ya kuwa mama anataka akatafute hela yake baba nae aende akatafute so wamelelewa na ma-house maids ambao hata mtoto akifanya kosa kubwa kiasi gani la kimaadili hazingatii maana mtoto akiharibika siyo wake.
Tupo leo na kizazi cha vijana kukataa ndoa mabinti nao kuvua vua chupi hovyo,kama binti kipindi akiwa mtoto alishuhudia dada yake (house girl wao) akipigwa mpini sebuleni na muuza genge (maana hawa ndiyo wabaya kwa wafanyakazi wa ndani huko mitaani) leo ataona ajabu gani kuvua nguo hovyo afanye ngono?na huko kugongwa kuna mawili apate mimba awe singo mama au ukimwi,hii yote sababu wakati alipokuwa anahitaji msingi wa malezi ya mama yake huyu mama alikuwa ameenda kutafuta pesa.
NB;oweni std 7,form 4&6 hawa hawana mambo mengi ya sijui nataka nikafanyie kazi ujuzi wangu niliosomea muhimu mke ajue kusahihisha homework za watoto the rest fanyeni wenyewe.