Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Wewe wasema
Umjua mmiliki WA ngurdoto hotels ni nan?
Unamjua mmiliki WA eckenford tanga university ni nan?
Umjua mmiliki WA précision ? Ni Hao mabwana zako waarabu ?
Mbona unapanic? na tunajua Mali nyingi mliachiwa na mkoloni Kwa kumng'ang'ania ndo maana hamkutaka uhuru eti muendelea kuwaabudu wazungu ulikuwa bado hujazaliwa😂😂.

Hao uliwataja huyo Tarimo eckenford aliachiwa na wazungu na ishakufa hawana management nzuri ...Waarabu sio bongo tu nchi kibao mpaka marekani Wana uwekezaji.

Tajiri anajulika Mo huyo Mengi wako hamna na shirima ndo kabisa😂😂wenzio vijana wakina Mo chini ya 50 ,we mazee 70 na kitu na juzi tu list imetokq Mengi kashashuka hamna muendelezo mzuri wa biashara kama waarabu.😂
 
Unaelekea kuwehuka Wewe
Sasa mkoa WA Kilimanjaro unakaliwa na watu gani mostly?
Kwahyo huko Kagera hakuna hivyo vipato?
Nenda kahamasishe watu Wenu WA Kagera waondokane na aibu ya utapiamlo
 
We tafuta picha zote mbaya za mkoa wa kilimanjaro zipost huku usichoke na wala usiache

ila fahamu Kagera ni mkoa maskin kuliko mikoa yote Tanzania unashika mkia sihitaji picha kuprove hilo bali takwimu
Huyu amechanganikiwa SIO tu kwa mkoa wake kuwa WA kwanza kwa umaskini,Bali mkoa wake ni WA Tano kitaifa kwa utapiamlo
Yani Hadi chakula chá kulisha watoto ni shida HII kiuchumi inaitwa absolutely poverty
 
HAKUNA KABILA LILILO NA WASOMI WENGI KAMA WAHAYA

KATIKA POPULATION YA WAHAYA MORE THAN 87% WAMESOMA NGAZI ZA VYUO.

WACHAGA WANAIISHIA FORM 4 HALAFU WANAKOMAA NA BIASHARA.

HALAFU ACHA UONGO DOGO SAWA?
Wewe wasema
Wachaga wamedominate ngazi zote za Elimu kwanzia diplôme, dégrée,masters ,PhD
Wachaga wamesoma zaidi kozi za maliasili,uhasibu, uchumi, biashara,Sheria,Elimu,u daktari, engineering na kilimo
Hakuna mahali Au taasisi isiyo na mchaga popote Tanzania
 
Tarimo aliachiwa na mzungu yupi tarimo Alianza na chekechea Hadi university,vipi na mengi NAE aliachiwa na wazungu?
Vipi na shirima nae aliachiwa Precision na mzungu?
Umamjua aingaya Macha? Ni individual shareholder namba Moja ktk bank ya crdb je NAE kaachiwa na mzungu?
Unafahamu Huwa 40% ya kampuni za mabasi Tanzania zinamilikiwa na watu WA Kilimanjaro?
 
Ndo maana nikakuambiwa hujui kaangalie branch za eckenford eti alianza na chekechea ,punguza utoto kama biashara angekuwa kaanza kutoka scratch isingekufa kibudu mpaka majengo yalikuwa yanapigwa mnada..

Kasome huyo shirima kwanza kaanzisha hyo akiwa na miaka 50 na kitu na alipotoka sio haba.

Mbona wamazidiwa na wale jamaa pale juu?😂😂

Huyo Mengi kweny kitabu eti wageni wanapendelewa wakati wakina GSM Mzee wake wanaanza biashara pale Tanga watu wanamuona ,kuna Bakhresa nyie mtu kufa miaka kadhaa biashara zimeyumba.

Matajiri wengi ni wale wale haswa wazee walishajichotea pesa kibao enzi za zamani kama ulikuwa hujui ndo hao wanaendeleza na wataendelea kuwa matajiri ,washashika maeneo nyeti yote.

Inshort ,waarabu,wazungu na wachina ndo mpango mzima .
 
Mbona unajielezea sana tajiri wa Tanzania ni Mo na Bakhresa huyo sijui Macha hata Top 10 hayupo ...Hata GSM naona haingii mara 2 yake😂😂.

Acha kutaja watu wa uchochoroni hata Bank waajiriwa wengi walikuwa wanatokea huko kaskazini hiyo CRDB n watu wanajua nan alichangia hilo.
 
Wachaga is overrated
Mimi katika vitu nilikuwa siviwezi ni biashara na kuona fursa. Nikakutana na jamaa yangu mmoja kazini mchaga, aisee yule jamaa alibadilisha kabisa mtazamo wangu kimaisha na ndiye aliyeniingiza kwenye biashara for the first time. Pamoja na kuwa kazini kwa zaidi ya miaka 5 huyo jamaa tulianza biashara pamoja, joint venture, na kupitia hiyo biashara kwa mara ya kwanza niliweza kuwa na milioni 5 zangu mwenyewe kupitia hiyo biashara. Hawa jamaa acha kabisa..
 
Wachaga base on History nikizazi cha Malikia Wa Sheba kutoka Ethiopian ambapo Kuna vinasaba vya Waisrael
 
Porojo zipo na wakati mkoa wa kilimanjaro wananchi wake wanakipato kikubwa na upo top three na huku kagera ukiwa miongoni mwa mikoa maskini kabisa au unataka proof ipi

Utoeni kwanza mkoa wenu wa kagera kwenye mikoa maskini zaid Tanzania
Na bukoba ndo wilaya yenye idadi ndogo maskini nchi...unasemaje na hapo
 
Huyu Aliyeleta huu Uzi naona dish limeyumba! Kuna maendeleo gani huku Moshi? Wamesoma mkoa gani haujasoma? Wameendelea wakati Kuna nyumba za nyansi kama wengine! Wachaga ni kama free mason, hela zao ni za kuabudu mizimu, wizi, kubebana makazoni humu na dhuruma. Fuatilia sana ajira sasa hivi wanastukiwa sana.
 
Weka credible source ya hizo takwimu
Kwa hiyo bukoba (M) iko mara mbili namba moja na 11
Bukoba ndo wilaya yenye asilimua kubwa ya watu wenye vipato mzee...
Hizo takwimu ni kutoka NBS...kagoogle kiwango cha umaskini ngazi ya wilaya...
Nyie mnapenda kuchukua mkoa mzima wa kageea wenye wilaya hata za biharamulo na ngara...chukua sehemu za wahaya pekee uone...


And you can prove this...tazama baadhi ya mitaa ya bukoba mjini.....wilaya yenye idadi ndogo ya maskini nchini...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…