luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
[emoji3][emoji3][emoji3]Haufikii mkoa wa mwisho kwa kuwa na maskin wengi kagera yaan mmezidiwa mpaka na lindi, singida n.k
Endelea kutuletea picha usichoke ndo njia pekee ya kujitetea uliyobaki nayo
[emoji3][emoji3][emoji3]Fyonza sana lakini huwezi kuwa mchagga. Uchagga ni "heritage" urithi ni kitu cha kujivunia sana. Tunafundishwa kujivunia pia fahari yetu wachagga. [emoji16]
Hâta New-York Kuna slumsImagine huu mji ndo wanajiita the most developed tz hii....
2023 moshi iko hiv na imechakaaView attachment 2696505
Hizo ni takwimu za 2002 tupe za 2023Na bukoba ndo wilaya yenye idadi ndogo maskini nchi...unasemaje na hapoView attachment 2696357
Isitoshe hizi takwimu ni za 2002 dah Huyu jamaa kachanganyikiwa,Sasa takwimu za miaka 20 iliyopita anatumia réjea 2023[emoji3][emoji3][emoji3]Weka credible source ya hizo takwimu
Kwa hiyo bukoba (M) iko mara mbili namba moja na 11
Jamaa nimemdharau sana watu tunaongelea takwimu yeye kajikita kwenye picha yaan anataka tutumie picha na sio takwimu hivi ni vitukoUnajaribu kujifcha kwenye kichaka chá njugu
Mkoa WA Kagera ni WA kwanza kwa umaskin,WA 5 kwa utapiamlo HII haiwezi kutoka kwa cheap justification hyo.
Kwahyo mkoa Wenu ulivyo maskini unaeeza kuutofautishaje na jamii ya hko? MBna kwenye mambo mazuri unahusisha wahaya? Mabaya inakuwa no[emoji3][emoji3]
Akili za Ribisi hizi
ThanksChuon nilikutana na jamaa mmoja kutoka rombo, alinishangaza sana, alikuwa na vyeti vingi mno. Jamaa alikuwa amesoma mambo mengi lakini bado alikuwa anakomaa na course work kinoma.
Nyumbani kwao maisha safi, na mama yake alimwambia atafute biashar ya kufanya then apewe mtaji atakaotaka lakn akamwambia subiri kwanza nimalizie diploma yangu then nitakwambia bachotaka kufanya.
Hawa jamaa ni so smart kichwan. Hawakurupuki wala kukata tamaa kwenye maisha.
Madegree pia Wachaga wana mengiJamaa nimemdharau sana watu tunaongelea takwimu yeye kajikita kwenye picha yaan anataka tutumie picha na sio takwimu hivi ni vituko
Mimi sina chuki na wahaya ila lile kabila linapenda masifa ya kijinga huku wakishindwa kuendeleza mkoa wao
Kwa dar hata ukiangalia matajiri wahaya ni wachache sana wamezidiwa na wakinga
Utajiri upo kwenye hustling na sio kwenye kuwa na madegree mengi ndo hapo wahaya wanapo-fail
Madegree pia Wachaga wana mengi
Tofauti ya mchaga na MHAYA ni kuwa MHAYA anakomaa kusoma tu Ila mchaga anasoma na kutafuta pesa Yan vyote Elimu yupo pesa yupo Ndiyo maana halisi ya msomi SIO unakuwa msomi maskini[emoji3][emoji3]
Wew si unataka takwimu...leta takwimu kwamba Dar wahaya wanazidiwa na wakinga kwa idadi ya matajiri..Jamaa nimemdharau sana watu tunaongelea takwimu yeye kajikita kwenye picha yaan anataka tutumie picha na sio takwimu hivi ni vituko
Mimi sina chuki na wahaya ila lile kabila linapenda masifa ya kijinga huku wakishindwa kuendeleza mkoa wao
Kwa dar hata ukiangalia matajiri wahaya ni wachache sana wamezidiwa na wakinga
Utajiri upo kwenye hustling na sio kwenye kuwa na madegree mengi ndo hapo wahaya wanapo-fail
Siku hiz wachaga ndo mna sifa za kijinga...ushawahi ona mhaya anaanzisha uzi kujisifia sijui wameendelea..sijui wameyaacha mbali makabila mengine...Jamaa nimemdharau sana watu tunaongelea takwimu yeye kajikita kwenye picha yaan anataka tutumie picha na sio takwimu hivi ni vituko
Mimi sina chuki na wahaya ila lile kabila linapenda masifa ya kijinga huku wakishindwa kuendeleza mkoa wao
Kwa dar hata ukiangalia matajiri wahaya ni wachache sana wamezidiwa na wakinga
Utajiri upo kwenye hustling na sio kwenye kuwa na madegree mengi ndo hapo wahaya wanapo-fail
Endelea kutuma picha hizo hazitoshi ni chache sanaSiku hiz wachaga ndo mna sifa za kijinga...ushawahi ona mhaya anaanzisha uzi kujisifia sijui wameendelea..sijui wameyaacha mbali makabila mengine...
Humu si zimejaa nyuzi za wachaga tu...mara sisi hatuna uchawi..mara sisi sijui tukoje...
Huu ni ushamba tu kwan Tanzania bado ni maskini mzr tu....tuna safari ndefu sana...
Hebu tengenezeni hata moshi yenu ifikiie mji huu wa musanze kule Rwanda...vinginevyo no difference kati ya bukoba na moshi...mnaitaji kuwekeza sana kwenu...View attachment 2696836View attachment 2696838
Na mkoa wa kagera ndo mkoa maskin kuliko yote na kuna umaskin wa kutishaWew si unataka takwimu...leta takwimu kwamba Dar wahaya wanazidiwa na wakinga kwa idadi ya matajiri..
Inabidi uanze kujidharau wew kwanza...nimekuomba takwimu za wachaga kuongoza Tanzania hujaleta unaleta mikoa...basi kama tunaangalia mikoa wahehe na wazaramo ndo matajiri nchi hii...sasa nikuaminije
I hope wew ni mwanamke...na kama ndio ndo wale wa Nipige nipige kama unaweza[emoji23]Na mkoa wa kagera ndo mkoa maskin kuliko yote na kuna umaskin wa kutisha
Endelea kutuma picha usiache umesika usiache endelea kutuma picha
Endelea kutuma picha hizo hazitoshi ni chache sana
Umesehamia kwa wanawakeI hope wew ni mwanamke...na kama ndio ndo wale wa Nipige nipige kama unaweza[emoji23]
Ila kusema kweli japo wahaya wana majivuno ila hata nyingi wachaga mnayo pia! Lakini kwenu pako kawaida tu hamna mji au wilaya yenye maendeleo kama Kahama ila ndo mnaongoza kujigamba humu!Endelea kutuma picha hizo hazitoshi ni chache sana