luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
[emoji3][emoji3][emoji3]Haufikii mkoa wa mwisho kwa kuwa na maskin wengi kagera yaan mmezidiwa mpaka na lindi, singida n.k
Endelea kutuletea picha usichoke ndo njia pekee ya kujitetea uliyobaki nayo
Anajifariji
Hajui kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa makazi bora vijijin na WA pili kwa makazi bora in general Baada ya dar
Vijijin Kilimanjaro almost 95% ya Kila nyumba Ina umeme na maji Safi ya bomba