Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Haufikii mkoa wa mwisho kwa kuwa na maskin wengi kagera yaan mmezidiwa mpaka na lindi, singida n.k
Endelea kutuletea picha usichoke ndo njia pekee ya kujitetea uliyobaki nayo
[emoji3][emoji3][emoji3]
Anajifariji
Hajui kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa makazi bora vijijin na WA pili kwa makazi bora in general Baada ya dar
Vijijin Kilimanjaro almost 95% ya Kila nyumba Ina umeme na maji Safi ya bomba
 
Imagine huu mji ndo wanajiita the most developed tz hii....

2023 moshi iko hiv na imechakaaView attachment 2696505
Hâta New-York Kuna slums
Wewe ni mshamba dar yenyewe Kuna mbagala nairobi Kuna kibira
Wachaga wamejenga vijijin na huduma zote Hadi supermark,shell,bank zipo vijijin uchagan
Imagine wilaya ya rombo Ina matawi 6 ya bank
 
1) kuheshimu matambiko 2) hali ya hewa ya baridi (maeneo yote yenye weather ya baridi yana maendeleo kuliko yenye joto) 3) high population density , ardhi ya kwao ndogo lazma upambane 4) vinasaba wamechanganya cushitic, hamitic, nilotes siyo wabantu pure.
 
Chuon nilikutana na jamaa mmoja kutoka rombo, alinishangaza sana, alikuwa na vyeti vingi mno. Jamaa alikuwa amesoma mambo mengi lakini bado alikuwa anakomaa na course work kinoma.

Nyumbani kwao maisha safi, na mama yake alimwambia atafute biashar ya kufanya then apewe mtaji atakaotaka lakn akamwambia subiri kwanza nimalizie diploma yangu then nitakwambia bachotaka kufanya.

Hawa jamaa ni so smart kichwan. Hawakurupuki wala kukata tamaa kwenye maisha.
 
Unajaribu kujifcha kwenye kichaka chá njugu
Mkoa WA Kagera ni WA kwanza kwa umaskin,WA 5 kwa utapiamlo HII haiwezi kutoka kwa cheap justification hyo.
Kwahyo mkoa Wenu ulivyo maskini unaeeza kuutofautishaje na jamii ya hko? MBna kwenye mambo mazuri unahusisha wahaya? Mabaya inakuwa no[emoji3][emoji3]
Akili za Ribisi hizi
Jamaa nimemdharau sana watu tunaongelea takwimu yeye kajikita kwenye picha yaan anataka tutumie picha na sio takwimu hivi ni vituko

Mimi sina chuki na wahaya ila lile kabila linapenda masifa ya kijinga huku wakishindwa kuendeleza mkoa wao
Kwa dar hata ukiangalia matajiri wahaya ni wachache sana wamezidiwa na wakinga
Utajiri upo kwenye hustling na sio kwenye kuwa na madegree mengi ndo hapo wahaya wanapo-fail
 
Chuon nilikutana na jamaa mmoja kutoka rombo, alinishangaza sana, alikuwa na vyeti vingi mno. Jamaa alikuwa amesoma mambo mengi lakini bado alikuwa anakomaa na course work kinoma.

Nyumbani kwao maisha safi, na mama yake alimwambia atafute biashar ya kufanya then apewe mtaji atakaotaka lakn akamwambia subiri kwanza nimalizie diploma yangu then nitakwambia bachotaka kufanya.

Hawa jamaa ni so smart kichwan. Hawakurupuki wala kukata tamaa kwenye maisha.
Thanks
 
Jamaa nimemdharau sana watu tunaongelea takwimu yeye kajikita kwenye picha yaan anataka tutumie picha na sio takwimu hivi ni vituko

Mimi sina chuki na wahaya ila lile kabila linapenda masifa ya kijinga huku wakishindwa kuendeleza mkoa wao
Kwa dar hata ukiangalia matajiri wahaya ni wachache sana wamezidiwa na wakinga
Utajiri upo kwenye hustling na sio kwenye kuwa na madegree mengi ndo hapo wahaya wanapo-fail
Madegree pia Wachaga wana mengi
Tofauti ya mchaga na MHAYA ni kuwa MHAYA anakomaa kusoma tu Ila mchaga anasoma na kutafuta pesa Yan vyote Elimu yupo pesa yupo Ndiyo maana halisi ya msomi SIO unakuwa msomi maskini[emoji3][emoji3]
 
Hapa umewapiga kwenye mshono [emoji3][emoji28]

Lakini watakuwa wamekuelewa sasa maana haya ni maneno yenye hitimisho

Conclusive words [emoji108]
 
Jamaa nimemdharau sana watu tunaongelea takwimu yeye kajikita kwenye picha yaan anataka tutumie picha na sio takwimu hivi ni vituko

Mimi sina chuki na wahaya ila lile kabila linapenda masifa ya kijinga huku wakishindwa kuendeleza mkoa wao
Kwa dar hata ukiangalia matajiri wahaya ni wachache sana wamezidiwa na wakinga
Utajiri upo kwenye hustling na sio kwenye kuwa na madegree mengi ndo hapo wahaya wanapo-fail
Wew si unataka takwimu...leta takwimu kwamba Dar wahaya wanazidiwa na wakinga kwa idadi ya matajiri..

Inabidi uanze kujidharau wew kwanza...nimekuomba takwimu za wachaga kuongoza Tanzania hujaleta unaleta mikoa...basi kama tunaangalia mikoa wahehe na wazaramo ndo matajiri nchi hii...sasa nikuaminije
 
Siku hiz wachaga ndo mna sifa za kijinga...ushawahi ona mhaya anaanzisha uzi kujisifia sijui wameendelea..sijui wameyaacha mbali makabila mengine...

Humu si zimejaa nyuzi za wachaga tu...mara sisi hatuna uchawi..mara sisi sijui tukoje...

Huu ni ushamba tu kwan Tanzania bado ni maskini mzr tu....tuna safari ndefu sana...

Hebu tengenezeni hata moshi yenu ifikiie mji huu wa musanze kule Rwanda...vinginevyo no difference kati ya bukoba na moshi...mnaitaji kuwekeza sana kwenu...
1689598154925.jpg
1689598140116.jpg
 
Siku hiz wachaga ndo mna sifa za kijinga...ushawahi ona mhaya anaanzisha uzi kujisifia sijui wameendelea..sijui wameyaacha mbali makabila mengine...

Humu si zimejaa nyuzi za wachaga tu...mara sisi hatuna uchawi..mara sisi sijui tukoje...

Huu ni ushamba tu kwan Tanzania bado ni maskini mzr tu....tuna safari ndefu sana...

Hebu tengenezeni hata moshi yenu ifikiie mji huu wa musanze kule Rwanda...vinginevyo no difference kati ya bukoba na moshi...mnaitaji kuwekeza sana kwenu...View attachment 2696836View attachment 2696838
Endelea kutuma picha hizo hazitoshi ni chache sana
 
Wew si unataka takwimu...leta takwimu kwamba Dar wahaya wanazidiwa na wakinga kwa idadi ya matajiri..

Inabidi uanze kujidharau wew kwanza...nimekuomba takwimu za wachaga kuongoza Tanzania hujaleta unaleta mikoa...basi kama tunaangalia mikoa wahehe na wazaramo ndo matajiri nchi hii...sasa nikuaminije
Na mkoa wa kagera ndo mkoa maskin kuliko yote na kuna umaskin wa kutisha

Endelea kutuma picha usiache umesika usiache endelea kutuma picha
 
Endelea kutuma picha hizo hazitoshi ni chache sana

[emoji38][emoji38][emoji38]

Lakini hazitaondoka ukweli kuwa Kagera ni mwisho kimaendeleo au vipi?

Hahahah.

Kagera inavyoonekana wana hali ngumu sana wananchi wake Yaani inazidiwa na Kigoma, Lindi, Singida, Tanga Na mikoa yooote [emoji848][emoji848]

Washeija mjitafakari kwa kina.
 
Endelea kutuma picha hizo hazitoshi ni chache sana
Ila kusema kweli japo wahaya wana majivuno ila hata nyingi wachaga mnayo pia! Lakini kwenu pako kawaida tu hamna mji au wilaya yenye maendeleo kama Kahama ila ndo mnaongoza kujigamba humu!
Lakini kwa sasa Makabila kibao wanafedha na maendeleo haya ya kibongo!
Maana kwa maendeleo yaliyoko kilimanjaro hayana maajabu hata Njombe unayakuta!
Kiufupi Tanzania bado ni maskini bila kujarisha mkoa gani maana hata Dar tinayosema inamaendeleo watu wanaishi maisha ya hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom