Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Mshamba wewe
Standard ya Elimu inataka darasa liwe na at least 45 pupils
Sasa wewe umezoea kwenu usukumani darasa Lina watoto 100 unaona ajabu lenye 18 Sasa si ndio vizuri?
 
Takwimu hupingwa kwa takwimu
Nyie endeleeni kupanda mifisi yenu hko muone kama mtachomoka[emoji3]
 
Uchagan hakuna pori wewe ngosha
Maeneo yote ni kijani Safi usidhani Kuna mapori ya kuchungia mbuzi kama kule kwenu msalala
Njoo rombo,marangu,machame,mamba,kilema,ujionee mijemgo ya kifahari Hadi ukimbie
Uchagan hakuna nyumba ya nyasi hâta Moja(elewa Neno hâta Moja)
Nenda uchagan ukikuta MTU yeyote analala nyumba ya nyasi kama kwenu usukumani nakupa 5m
 
Itakua umewaona wachaga wawili huko kwenu,wachaga wavivu,wazembe,walevi wengi tu,achilia mbali umasikini
Pole sana unasumbuliwa na chuki
Hujui hâta marekan wapo maskini?
Tunasema uchagan ni tofauti kiuchumi,kimaendeleo , kimakazi NK compare na hko kwenu nyangwale
 
Husuda.

Maskini wasofanikiwa huwa wanawaonea husuda walofanikiwa.

Husuda huambatana na chuki .

Husuda ni tabia ya kichawi.
Alafu mungu alivyo WA ajabu
Wale haters wote mikoa yao ndio inaongoza kwa umaskini Kila mwaka
Kumbe chuki ni kwakuwa wao m maskini
Wafanye Kaz wazae kwa mpango watafanikiwa kama wachaga
 
Haipo popote
Kuna maeneo hapa Tanzania hâta kujenga nyumba ya bati jeupe tu ni shughuli
 
Huna hyo jeuri,jeuri ya kuhamusha watu wanayo wachaga tu
Walohamisha wazaramo kimara yote mbezi yote,kibamba NK,
Vikindu,toangoma na Sasa Hadi kisarawe bila kusahau bagamoyo
Huko kote ulikotaja, eka mmoja wakati wachaga wananunua bei haikufika hata laki moja.
 
Huko kote ulikotaja, eka mmoja wakati wachaga wananunua bei haikufika hata laki moja.
Ujue walivyo magenius ,waliwaacha wenyeji wakinengua viuno kwa baikoko wakanunua wakijua mbele ya safar ardhi itabana
Kwasasa ukienda unatoa million 10 unahesabiwa miguu kadhaa kwa ajili ya kujenga
Umeona akili kubwa?
 
Mimi nakaa Kilimanjaro.


Danganya wapumbavu unaowaomba omba bia au wanaokuchomea kitimoto huko Bar.


Hiyo kijani, ni wakati wa mvua tu


Kama Sasa hivi, mvua ilikata tangu mwezi wa tano, Kuna ukame, vumbi zito na mabonde. Hata majani ya kukatia mifugo hakuna, mifugo inalishwa majani makavu
 
Wachaga wako kama wahindi, wanaharibu watoto wao, utakuta mmoja dishi limeyumba huwezi kumjua kirahisi...

Huyo ndio anawapa utajiri...

Kingine ni watu wa kafara za damu za wanyama kwa wafu/mizimu...
Huwafahamu wachaga
 



Uko pande ipi ?

Thame?

Maana Kilimanjaro ni mkoa mkubwa, kukuta kipande cha hivyo una Yoel ezels si ajabu lakini ukweli ni kuwa kwa sehemu kubwa huwa ni kijani na neema.

Mafuso chungu nzima yanabeba ndizi na matunda ingekuwa na ukame kiasi kikubwa ndizi zisingezaliwa.
 
Nimekwambia zunguka uchagan kote ukikuta nyumba ya nyasi hâta Moja nakupa million 5 cash shida Iko wapi?
Kilimanjaro ndio mkoa WA pili kwa makazi bora Baada ya dar,ni mkoa WA 4 kwa idadi ya ghorofa Baada ya dar,Arusha,mwanza
Uchagan Hadi vijijin watu wanalala kwenye ghorofa
Hko kwenu usukumani Bado sana aisee imagine hâta vyoo kwenu ni shida Hadi serikali ikawaletea kampeni ya nyumba ni choo
Cheki location za vijiji uchagani mijengo kama masaki

 
Huyu anabishia uzoefu
Nimemwambia atembelee uchagan yote akikuta nyumba ya nyasi walau Moja tu mm nitampa 5m
Apige picha aseme ni kijij gani,kitongoji gani,eneo gani ikithibitika natoa Hela hyo
Iam sure 100% hakuna nyumba ya nyasi hâta Moja uchagan (elewa maana ya hâta Moja)
 
Kwa kuwa hakuna ushahidi kuthibitisha kwamba wachaga ni wezi na wakabila, si sahihi kwa mtu yeyote kuwatuhumu hivyo.

Nadhani hii dhana ya wizi na ukabila kwa wachaga inatolewa na watu wanaonea wivu maendeleo yao.
 
Hayo majani makavu yametoka wap? Mpaka majani yanakua makavu means yalianza kuwa ya kijani

Acha kuandika non sense
 
Uchaggani hakuna nyumba za nyasi Kwasababu hata hizo nyasi za kuezea HAKUNA.

Ila Kuna nyumba kibao za TOPE na Mbao.

Hilo siyo swali, hata Handeni nimekaa, wanajenga nyimba za miti n kuezeka Bati Kwasababu hakuna nyasi
 
Hayo majani makavu yametoka wap? Mpaka majani yanakua makavu means yalianza kuwa ya kijani

Acha kuandika non sense
Wakati wa masika, mvua inanyesha majani yanaota.

Wachagga wakija mwisho wa mwaka wanapiga picha za kudanganya watu.

Wakati wa kiangazi Kuna maeneo huwezi hata kuanika nguo nke Kwasababu ya vumbi zito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…