luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Mshamba weweShule nyingi ni upuuzi, Kwasababu watu wenyewe mnakimbia kwenu kila siku mpaka darasa linakuwa na wanafunzi 8.
Calculations zinafanyika kiboya. Huwezi kuchukua pato zima la mkoa ukagawanya kwa idadi ya watu. Na wachagga kila siku mnakimbia kwenu, huna mnaleta misiba tu nammeacha wazee.
Kwahiyo kwa vyovyote sehemu yenye watu wachache itaonekana Ina kipato kizuri, jambo ambalo ni uongo.
Kilimanjaro (ukiondoa Moshi na Himo) kwingine kote ni VIJIJINI PORI.
Kwahiyo, wakati unasema unasema VIJIJINI Kuna nyumba nzuri, tuoneshe MJINI ni wapi??
Standard ya Elimu inataka darasa liwe na at least 45 pupils
Sasa wewe umezoea kwenu usukumani darasa Lina watoto 100 unaona ajabu lenye 18 Sasa si ndio vizuri?