Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Uko pande ipi ?

Thame?

Maana Kilimanjaro ni mkoa mkubwa,
Kwanza ukiri kuwa Kilimanjaro siyo mkoa mkubwa.

Unalingana na viwilaya vidogo tu,bya mikoa mingine
kukuta kipande cha hivyo una Yoel ezels si ajabu lakini ukweli ni kuwa kwa sehemu kubwa huwa ni kijani na neema.
Umelewa au uko TIMAMU?
Mafuso chungu nzima yanabeba ndizi na matunda ingekuwa na ukame kiasi kikubwa ndizi zisingezaliwa.
Mafuso kubeba ndizi ngapi?

Ndizi zipo Kwasababu ndio utamaduni huku, kila mmoja ana ana mihomba nyumbani kwake.

Lakini zimekuwa chache na zimepanda Bei mnooo.
 
Kwa kuwa hakuna ushahidi kuthibitisha kwamba wachaga ni wezi na wakabila, si sahihi kwa mtu yeyote kuwatuhumu hivyo.

Nadhani hii dhana ya wizi na ukabila kwa wachaga inatolewa na watu wanaonea wivu maendeleo yao.
Ni Kweli mkuu,watz wengi Wana wivu
 
Uchaggani hakuna nyumba za nyasi Kwasababu hata hizo nyasi za kuezea HAKUNA.

Ila Kuna nyumba kibao za TOPE na Mbao.

Hilo siyo swali, hata Handeni nimekaa, wanajenga nyimba za miti n kuezeka Bati Kwasababu hakuna nyasi
Ahaaa Sasa kumbe hakuna nyumba za nyasi hapo tumeelewana
Kuhusu mbao,hâta Finland Kuna nyumba nyingi za mbao,nimefika Helsinki Finlande,nimefika Tiblis nyumba za mbao Safi
Sasa unaeeza fananisha nyumba ya mbao ilioezekwa kwa bati yenye Maji na umeme dhidi ya nÿumba ya nyasi?
95% ya nÿumba zote uchagan ni za kisasa
Hizo unazosema za mbao/miti ni 5% tu
 
Wanajitahidi sana, lakini Kilimanjaro bado sana, kiukweli haina tofauti na mikoa mingine masikini, hata wasukuma wa Mwanza wamewazidi kwa uzuri wa mkoa wao, wangetumia pesa zao kujenga mabenki, viwanda, kulazimisha miundo mbinu etc nguvu kazi nyingi ingehamia Kilimanjaro na pangeendelea sana, tatizo lingine wana matatizo na ardhi, tatizo wanajenga nyumba nzuri za kuishi lakini wote wanaishi Dar, kumebaki wazee tuu na wafanyakazi wa kufyeka majani kuangalia nyumba zao
 
Pole sana unasumbuliwa na chuki
Hujui hâta marekan wapo maskini?
Tunasema uchagan ni tofauti kiuchumi,kimaendeleo , kimakazi NK compare na hko kwenu nyangwale
Uchagani nimefika mzee,sijaona hiyo tofauti,hata dar yenyewe utofauti kwa majengo na mikoani ni posta na kariakoo tu, asilimia kubwa nyumba za makazi ni sawa tu na mikoani,Sasa ndo iwe Moshi!!
 
Uchaggani hakuna nyumba za nyasi Kwasababu hata hizo nyasi za kuezea HAKUNA.

Ila Kuna nyumba kibao za TOPE na Mbao.

Hilo siyo swali, hata Handeni nimekaa, wanajenga nyimba za miti n kuezeka Bati Kwasababu hakuna nyasi

Handeni imechoka!
Huwezi ifananisha na Uchagani.

Kule shida ya Maji ni tangu mkoloni hadi leo pamoja na kuwa na vyanzo vya maji chungu nzima [emoji108]

Uchawi na ushirikina kule ndio mwake!
 
Wanajitahidi sana, lakini Kilimanjaro bado sana, kiukweli haina tofauti na mikoa mingine masikini, hata wasukuma wa Mwanza wamewazidi kwa uzuri wa mkoa wao, wangetumia pesa zao kujenga mabenki, viwanda, kulazimisha miundo mbinu etc nguvu kazi nyingi ingehamia Kilimanjaro na pangeendelea sana, tatizo lingine wana matatizo na ardhi, tatizo wanajenga nyumba nzuri za kuishi lakini wote wanaishi Dar, kumebaki wazee tuu na wafanyakazi wa kufyeka majani kuangalia nyumba zao
Umevimbiwa udaga wewe
Yani mkoa WA mwanza ni miongoni mwá mikoa 5 kwa umaskini uje uulinganishe na Kilimanjaro? MTU anaona yale maghorofa pale MZA akienda Vijijin anakuta watu Wana share Maji na mifugo Kilimanjaro Kila nyumba Ina maji Safi ya bomba na umeme kwa 95%
Takwimu zinautaja mkoa WA Kilimanjaro kuwa WA pili kwa makazi bora Baada ya dar
Kilimanjaro ma benk yametapakaa Kila Mahali mfano wilaya ya Rombo pekee Ina matawi zaidi ya 6 ya bank
Huduma za jamii Kilimanjaro zina utoshelez kwa 95% Kilimanjaro Hadi vijin utakuta mashule ya private,maduka makubwa, hardware kubwa, hospital NK
Mwananchi WA Kijijin Kilimanjaro Hana haja ya kwenda mjini kutafuta huduma yoyote,huduma zote anazipata ndani ya eneo lake alilipo HII huwezi kuikuta popote Tanzania labda kwa wadogo zetu bukoba ndio at least wanajifunza[emoji3]
 
Uchagani nimefika mzee,sijaona hiyo tofauti,hata dar yenyewe utofauti kwa majengo na mikoani ni posta na kariakoo tu, asilimia kubwa nyumba za makazi ni sawa tu na mikoani,Sasa ndo iwe Moshi!!
Acha kuchekesha mkuu
Yani majumba ya kifahari Karibu maeneo yote ya uchagani ufananishe na vijumba vya nyasi kule itilima,meatu na namtumbo? Hebu acha matusi tafadhali
 
Kuna majumba ya kifahari uchagani!?..kwako jumba la kifahari likoje!?
Safisha macho
Hapa SIO masaki ni uchagan vijijin
255757055941_status_7367ada559604a5d82391719dfaf9eec.jpg
IMG_20230627_181536_853.jpg
IMG_20230627_180950_223.jpg
IMG_20230627_114436_613.jpg
IMG_20230627_100758_274.jpg
 
Hayo ndo majumba ya kifahari?!

Uwepo wa Nyumba za hivyo kwa maeneo ya vijijini ni fahari kubwa sana.

Niambie ni kijiji gani au vijiji gani utakuta Nyumba zenye hadhi hiyo ukiachana na vijiji vya huko Uchagani?

Hizo utazikuta maeneo ya mijini tu na sio vijijini ndani huko.

Lakini kwa Uchagani kukuta nyumba Kama hizo vijijini sio jambo la kustua.

Ukweli usemwe.
 
Back
Top Bottom