MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Kwanza ukiri kuwa Kilimanjaro siyo mkoa mkubwa.Uko pande ipi ?
Thame?
Maana Kilimanjaro ni mkoa mkubwa,
Unalingana na viwilaya vidogo tu,bya mikoa mingine
Umelewa au uko TIMAMU?kukuta kipande cha hivyo una Yoel ezels si ajabu lakini ukweli ni kuwa kwa sehemu kubwa huwa ni kijani na neema.
Mafuso kubeba ndizi ngapi?Mafuso chungu nzima yanabeba ndizi na matunda ingekuwa na ukame kiasi kikubwa ndizi zisingezaliwa.
Ndizi zipo Kwasababu ndio utamaduni huku, kila mmoja ana ana mihomba nyumbani kwake.
Lakini zimekuwa chache na zimepanda Bei mnooo.