Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Uwepo wa Nyumba za hivyo kwa maeneo ya vijijini ni fahari kubwa sana.

Niambie ni kijiji gani au vijiji gani utakuta Nyumba zenye hadhi hiyo ukiachana na vijiji vya huko Uchagani?

Hizo utazikuta maeneo ya mijini tu na sio vijijini ndani huko.

Lakini kwa Uchagani kukuta nyumba Kama hizo vijijini sio jambo la kustua.

Ukweli usemwe.
Unyamwezini,usukumani vijijini huko mbona zipo hata zaidi ya hizo,yaani tuuze tumbaku,mahindi na mchele tushindwe kujenga vijumba vya hivyo!?..sisi hatufanyi kazi za kuingiza vishilingishilingi,tukiuza tunapata mlima,tunajenga nyumba za kisasa na gesti juu,nyinyi kazi zenu za kudunduliza ndo unaona nyumba Kama hiyo ni mbali
 
Uwepo wa Nyumba za hivyo kwa maeneo ya vijijini ni fahari kubwa sana.

Niambie ni kijiji gani au vijiji gani utakuta Nyumba zenye hadhi hiyo ukiachana na vijiji vya huko Uchagani?

Hizo utazikuta maeneo ya mijini tu na sio vijijini ndani huko.

Lakini kwa Uchagani kukuta nyumba Kama hizo vijijini sio jambo la kustua.

Ukweli usemwe.
Kijiji cha kagoma wilaya ya Muleba .... Bukoba vijijini....vijiji vya wahaya hivi

Mkatembee aisee....bado mna ushamba Fulani hiv..
FyhB1PYaYAA1-MK.jpg
Screenshot_20230516-001157.jpg
Screenshot_20230516-000822.jpg
Screenshot_20230426-171415.jpg
 
Me sina la kusifia lolote maana yameshaisha yote wamesifiwa na waliotangulia ila lengo langu ni kumuoa mwanamke wa kichaga haijalishi mnawasemeaje but lazima nimuoe mchaga hio niliipanga tangu sekondari hata kama yupo anaona hii comment aje pm 😀😀😀
 
Kama ni kweli itakuwa ni mmoja kati ya familia 100,

Ingekuwa ziko hivyo kwa wastani Kagera msingeshika mkia kwa maendeleo ya kiuchumi kwa mujibu wa takwimu.

Pia inategemea na upigaji picha.
Sawa....tembelea vijiji vya Kagera hasa vya wahaya...utabadili mindset yako...

Maana huna exposure Tu na mambo ya nchi yako....too much ego...na ukabila kwa mbali
 
Sawa....tembelea vijiji vya Kagera hasa vya wahaya...utabadili mindset yako...

Maana huna exposure Tu na mambo ya nchi yako....too much ego...na ukabila kwa mbali

Ingekuwa kwa wastani hali iko hivyo msingashika mkia kwenye mkeka wa hali ya maendeleo.
 
Ingekuwa kwa wastani hali iko hivyo msingashika mkia kwenye mkeka wa hali ya maendeleo.
Wew Baki na vitakwimu vyako vya wauza bandari...Kwanza sio wa Mwisho kimaendeleo Bali katika Per capita...tofautisha Hilo...tz tunazidiwa per capita na benin, Guinea, equatorial Guinea lakin maendeleo tz iko mbali sana kulinganisha na nchi hizo.....

Siku zote kipimo cha per capita hufavor sehemu yenye population ndogo...Lindi Tu inaizidi Arusha, mwanza NK kwa per capita lakin tazama maendeleo sasa...
 
Mmnh!

Hata kama kungekuwa na mapungufu ndiyo Kagera ishike mkia jamani! [emoji848]

Mmepitwa na wote hadi Lindi na Kigoma?!

Kwa Kweli mjitafakari kwa upya.
 
Mmnh!

Hata kama kungekuwa na mapungufu ndiyo Kagera ishike mkia jamani! [emoji848]

Mmepitwa na wote hadi Lindi na Kigoma?!

Kwa Kweli mjitafakari kwa upya.
Yule mtakwimu mkuu alishakiri..waliongeza watu laki tano hewa kwa mkoa wa Kagera...2021 Kagera waliestmate watu 3.4million...lakin Sensa ya 2022 inasema 2.9...
 
Yule mtakwimu mkuu alishakiri..waliongeza watu laki tano hewa kwa mkoa wa Kagera...2021 Kagera waliestmate watu 3.4million...lakin Sensa ya 2022 inasema 2.9...

Ni ngumu sana kueleweka.

Basi mngeshika namba ya katikati lakini badala yake mkashika mkia ? [emoji15]

Na hii siyo mara ya kwanza wala ya pili.

Imekuwa hivyo mara kadhaa au kuwa last but one .

Yaani isiposhika mkoa Kigoma basi ujue itashika Kagera [emoji108]

Basi mkivuliwa nguo mjue na kuchutama.
 
It doesn't matter...just enjoy how Bukoba suburbs are developing at a fast speed...hayo mambo ya takwimu watajua wao...

Mimi navyojua watu wanawekeza kwa nguvu sana huko Bukoba kuanzia makazi, apperments na sasa wanajenga Hadi malls...tena ni Bora uitwe maskini ili ujitume zaidi kuliko kusema umeendelea na ukabweteka....

Bukoba 2023....ni mji gan Tanzania ukitoa majiji ( excluding mbeya) Una suburbs tamu kama hiz?
Tatizo la wabongo hawapendi kuappreciate Bali wanataka wote tuwe level moja ndo maana chuki zinakuwaga kubwa kwa watu waliofanikiwaView attachment 2699145
Screenshot_20230514-144654.jpg
Screenshot_20230514-144708.jpg
Screenshot_20230514-113548.jpg
FymTnmfXoBkwmzJ.jpg
 
Ni ngumu sana kueleweka.

Basi mngeshika namba ya katikati lakini badala yake mkashika mkia ? [emoji15]

Na hii siyo mara ya kwanza wala ya pili.

Imekuwa hivyo mara kadhaa au kuwa last but one .

Yaani isiposhika mkoa Kigoma basi ujue itashika Kagera [emoji108]

Basi mkivuliwa nguo mjue na kuchutama.
Bukoba 2023
dfg%20(1).JPG
 
Kama ni kweli itakuwa ni mmoja kati ya familia 100,

Ingekuwa ziko hivyo kwa wastani Kagera msingeshika mkia kwa maendeleo ya kiuchumi kwa mujibu wa takwimu.

Pia inategemea na upigaji picha.
Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuu

maji ya kisimani / mtoni
umeme hadi jenereta / sola
hospitali hadi mjini
maduka hadi mjini
barabara za vumbi
shule nzuri hadi mjini
Network inasumbua

ndio shida ya kujenga hivyo vijiji
 
Kijiji cha kagoma wilaya ya Muleba .... Bukoba vijijini....vijiji vya wahaya hivi

Mkatembee aisee....bado mna ushamba Fulani hiv..View attachment 2698912View attachment 2698914View attachment 2698916View attachment 2698917
Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuu

maji ya kisimani / mtoni
umeme hadi jenereta / sola
hospitali hadi mjini
maduka hadi mjini
barabara za vumbi
shule nzuri hadi mjini
Network inasumbua

ndio shida ya kujenga hivyo vijiji
 
Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuu

maji ya kisimani
umeme hadi jenereta / sola
hospitali hadi mjini
maduka hadi mjini
barabara za vumbi
shule nzuri hadi mjini
Network inasumbua

ndio shida ya kujenga hivyo vijiji
Sorry bila Shaka huzungumzii Vijiji nilivyopost hapa....

Hebu tuongelee wilaya ya Muleba...( Moja ya wilaya za wahaya maana wengi mmekalili Bukoba Tu)..

Wilaya ina jumla ya hospital tano...Tatu za binafsi na mbili za serikali...

Wilaya ya Muleba ni wilaya ya pili kwa shule nyingi Tz hii...ni kawaida kijiji kuwa na shule Tatu sehemu moja...

Wilaya ya Muleba kama ilivyo Bukoba ni wilaya inayoongoza kupata mvua nyingi Tz hii...inazalisha sana ndizi, maharagwe, kahawa, chai na siku hiz vanilla...

Maji inatumia ya bomba kutoka Victoria kupitia mradi wa maji kemondo...

Barabara za lami zipo Hadi vijijini mfano Muhutwe to kamachumu, Muleba to Rubya, Muleba to nshamba... Barabara zote hizo zina lami
Bila kusahau Barabara kuu ya Muleba to Bukoba...

Wilaya ina visiwa na bandari kubwa ya magarini japo inahudumiwa na bandari ya kemondo...

Kutoka Muleba kwenda Bukoba panafikika maana kuna daladala kibao Hadi saa Tatu usiku...

Wilaya hii ukubwa wake ni Sawa na mkoa mzima wa Kilimanjaro...
 
Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuu

maji ya kisimani / mtoni
umeme hadi jenereta / sola
hospitali hadi mjini
maduka hadi mjini
barabara za vumbi
shule nzuri hadi mjini
Network inasumbua

ndio shida ya kujenga hivyo vijiji
Vijiji vya wahaya huko Bukoba vijijini...wew endelea kutunza hio Ego yako....
FC-K0dXUUAEexhE.jpg
FC-HMJ3VEAARU5s.jpg
images%20(1)%20(15).jpg
images%20(1)%20(14).jpg
FC-Oe84VcAU8oOs.jpg
Screenshot_20230516-001447.jpg
Fyha7ClWIBEclEw.jpg
Screenshot_20230426-171415.jpg
Screenshot_20230516-001220.jpg
 
WACHAGA

hawa jamaa wameendelea kwasababu mojawapo ni za kihistoria

Wakoloni walifungua shule za mission sana mkoa wa kilimanjaro (kilima kyaro ndio neno halisi la kichaga) hivyo walishafungua macho kabla ya uhuru,
 
Back
Top Bottom