Ni ipi yard ya kuaminika ya kuuza magari Dar?

Wakuu habari ya mchana?

Nimechoka kutembea kwa miguu, nataka nikavute gari yadi leo.

Ni yadi gani ya kuaminika hapa Dar achana na zile yadi kwa kutuuzia magari ambayo wameyatoa Zanzibar.
Kwa yard sina uhakika ila kwa mnaomjua Chris Lukosi mwamba namkubali sana. My next step kama ntahitaji dungu jeshi aisee Lukosi atahusika. Thou sijawahi kuagiza gari kwake bado ila nilishawahi kununua sana vifaa vingine kama Ac etc kwenye minada yake. Sijajua kama anauza hiyo SUV unayotaka ila mcheki.
 
Helpful.
 
Back
Top Bottom