mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Wale ndugu zake bagaza wanachezesha odometer.
Sio tu wanachezesha ila wanachezesha kwa kiwango cha juu sana. Kama una muda bora uagize mwenyewe au uende kwa wale wanaoagiza watacharge commission yao ila gari mtatafuta wote na utajua condition yake.
Angalizo tu. Hata hao wanaoagiza haiikisha wanakuonyesha source ya hiyo gari na mileage ya huko, mbambamba zipo hata kwao