t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Sio uoga hata mimi naungana naye na sio kwamba hizi gari ni mbovu bali hazina watu sahihi wa kufanya service.acha uoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio uoga hata mimi naungana naye na sio kwamba hizi gari ni mbovu bali hazina watu sahihi wa kufanya service.acha uoga
Mkuu naomba nichambulie honda crossroad vs. toyota rumionDualis picha linaanza nyingi ni Cvt transmission!!
Them big boys know how notorious and expensive to repair these gearbox are! Sina shida na umimara wa dualis , shida inaanza nani atakufanyia servise ya uhakika bila ku abuse hiyo gearbox
Usije ukapata expenxive repair bill , just because someone has just refill incorrect oil..
Rumion all the way brothermkuu naomba nichambulie honda crossroad vs. toyota rumion
Sio uoga hata mimi naungana naye , na sio kwamba hiz gari ni mbovu , bali hazina watu sahihi wa kufanya seT
thanks mkuu... i am ready accept critismSio uoga hata mimi naungana naye , na sio kwamba hiz gari ni mbovu , bali hazina watu sahihi wa kufanya service
You have my thanks....Rumion all the way brother
Tena SUV atapata mbovu mbovu atakonda sana mwanangu huyu...Anatakiwa akusikilize kwa umakini sana , kuna gari ukishakuwa ni mwajiriwa unatakiwa ukae nazo mbali,
@22 mil gari ya mkopo 2000cc , you are asking for a lot of missfortunes
Jan nachowapendea hawachezi na odo.. Ile Jeep yako ulichukua moja kwa moja kutoka us auJan International.
Hutojutia..
Unataka mwenzako apoteze pesa yake? Au hujui mwacar kafilisika na vimeo kibao vya clients, maana lipigwa pesa alipo order gari nje na huo ukawa mwanzo wa angukoNenda mwacar dealers hutojutia...
Wahuni sana pale, wanachokonoa sana gari.. Labda yule Tenga ila pale kupigwa parefu na kitu wamekichezea ni kawaidaNenda Mlimani City pale Ila bei zao zimechangamka kweli but gari zao ni nzuri
Kuna mahala wanauza Range Rover sport utakufaa tena kwa 20 millionAcha uoga
Eeeeh nilijua unataka kujua anataka aina gani ya Gari ili umwambie aende sehemu flani, kumbe ulitaka tu kujua anataka kununua Gari gani!Kila la kheri
Jeep imekuja kujaje tena??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jan nachowapendea hawachezi na odo.. Ile Jeep yako ulichukua moja kwa moja kutoka us au
Good idea sijui kwa nini hawaagizi Japan yard sinunui labda nipewe bure [emoji23]Ungeagiza Japan hiyo 22M unapata gari nzuri sana.
Hizi yard za bongo ni hit n miss.
Sure jah wa ukweli sana, hada bei wana wigo mpana wa kushushana.. Na unasajiliwa kama kama previous user (0) maana wale ni company, ila hawa wavilingine unasajiliwa kama previous user (1) maana inabidi alisajili kwa jina lake kwanza ndio afanye transfer kwako.. Maana TRA wamepiga pina waliona watu hawauzi gari kama company wakashtukaJeep imekuja kujaje tena??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo Jan hawanaga mambo hayo...
Kwanini usiagize Subaru forester ya 2008 -2012 Japan? Kwa bei hiyo huwezi kuikosa japo huenda mileage ikawa inasoma 150K+
Wale ndugu zake bagaza wanachezesha odometer.Nenda Mlimani City pale Ila bei zao zimechangamka kweli but gari zao ni nzuri