Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
SUV yoyote isizidi 22,000,000 na CC isizidi 2000Unaenda kununua chuma gani
Kila la kheriSUV yoyote isizidi 22,000,000 na CC isizidi 2000
Hongera mkuu kwa kutaka chuma SUV. Pita pita maeneo ya Moroco kama unarudi Victoria hapo utapata Yard zenye magari mazuri nna imani.SUV yoyote isizidi 22,000,000 na CC isizidi 2000
THANKS MKUUHongera mkuu kwa kutaka chuma SUV. Pita pita maeneo ya Moroco kama unarudi Victoria hapo utapata Yard zenye magari mazuri nna imani.
Nenda Kurasini kuna watu wanaitwa outocom nadhani, nasikia wanauza kwa bei za kule JapanWakuu habari ya mchana?
Nimechoka kutembea kwa miguu, nataka nikavute gari yadi leo.
Ni yadi gani ya kuaminika hapa Dar achana na zile yadi kwa kutuuzia magari ambayo wameyatoa Zanzibar.
ASANTE MKUU una namba ya mhusika yoyote pale?Nenda kurasini kuna watu wanaitwa outocom nadhani, naskia wanauza kwa bei za kule Japan
Hamna wasearch insta kwa jina hiloASANTE MKUU una namba ya mhusika yoyote pale?
Hiyo SUV itakuwa toyota rushSUV yoyote isizidi 22,000,000 na CC isizidi 2000
Bora nitembee kwa miguu tuuHio SUV itakuwa toyota rush
Mkuu usikufurubora nitembee kwa miguu tuu
Kwa yard sina uhakika ila kwa mnaomjua Chris Lukosi mwamba namkubali sana. My next step kama ntahitaji dungu jeshi aisee Lukosi atahusika. Thou sijawahi kuagiza gari kwake bado ila nilishawahi kununua sana vifaa vingine kama Ac etc kwenye minada yake. Sijajua kama anauza hiyo SUV unayotaka ila mcheki.Wakuu habari ya mchana?
Nimechoka kutembea kwa miguu, nataka nikavute gari yadi leo.
Ni yadi gani ya kuaminika hapa Dar achana na zile yadi kwa kutuuzia magari ambayo wameyatoa Zanzibar.
Kaka kuna Nissan Xtrail, Kuna Toyota Rush, na zile probox sijui siwezi kaka sizipendi..Mkuu usikufuru
Helpful.Kwa yard sina uhakika ila kwa mnaomjua Chris Lukosi mwamba namkubali sana. My next step kama ntahitaji dungu jeshi aisee Lukosi atahusika. Thou sijawahi kuagiza gari kwake bado ila nilishawahi kununua sana vifaa vingine kama Ac etc kwenye minada yake. Sijajua kama anauza hiyo SUV unayotaka ila mcheki.