Ni ipi yard ya kuaminika ya kuuza magari Dar?

mkuu huyu mwajiriwa mwenzangu ili kulinda ndoa yake, asitoke nje ya toyota...IST,Vitz, Premio n.k zile ndogo ndogo ambazo spea zinaanzia afu tatu
Anatakiwa akusikilize kwa umakini sana, kuna gari ukishakuwa ni mwajiriwa unatakiwa ukae nazo mbali,
@22 mil gari ya mkopo 2000cc, you are asking for a lot of misfortunes
 
dualis nahisi itafaa..naipata wapi sasa kaka, Yard ya ukweliiiii

Dualis picha linaanza nyingi ni Cvt transmission!!
Them big boys know how notorious and expensive to repair these gearbox are! Sina shida na uimara wa dualis , shida inaanza nani atakufanyia service ya uhakika bila ku abuse hiyo gearbox
Usije ukapata expenxive repair bill, just because someone has just refilled an incorrect oil..
 
Helpful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…