Ni ipi yard ya kuaminika ya kuuza magari Dar?

Mkuu naomba nichambulie honda crossroad vs. toyota rumion
 
Jeep imekuja kujaje tena??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo Jan hawanaga mambo hayo...
Sure jah wa ukweli sana, hada bei wana wigo mpana wa kushushana.. Na unasajiliwa kama kama previous user (0) maana wale ni company, ila hawa wavilingine unasajiliwa kama previous user (1) maana inabidi alisajili kwa jina lake kwanza ndio afanye transfer kwako.. Maana TRA wamepiga pina waliona watu hawauzi gari kama company wakashtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…