Ni ipi yard ya kuaminika ya kuuza magari Dar?

Una milioni 22 kwa nini uende yard badala ya kuagiza gari mwenyewe toka Japan? Tradecarview, Beforward na kampuni nyingine za Japan wana ofisi zao hapa Dar kama unaogopa kuagiza moja kwa moja mtandaoni. Nenda kawaone.
Hivi ukiagiza kutoka japan hawawezi kufanya michezo michafu ikifika hapa nyumbani,mana si rahisi kufatilia mwenendo wa gari hasa kwa mtu alie busy
 
Hivi ukiagiza kutoka japan hawawezi kufanya michezo michafu ikifika hapa nyumbani,mana si rahisi kufatilia mwenendo wa gari hasa kwa mtu alie busy

Hakuna na hata vitendo vya wizi vimepungua sana kama agent wako ni mwaminifu na mweledi. Meli ikiingia utapata gari ndani ya siku 3 tu. Muhimu muwe mshafanya taratibu nyingine mapema
 
Nimeshaapa sitonunua kitu chochote kama dalali atakuwepo kwenye issue hiyo. Hawa ni watu wa ajabu sana
 
Wao walilitoa kwenye sayari gani?
 
Wahuni sana wale jamaa wa mlimani nawajua
 
Kajibebee magari yenye kutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…