miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,088
Kwanini uite "wewe" tayari nitakuona ni muhuni tuu. Si zipo rules za jinsi gentlemen wanatakiwa wabehave? Usike ukaniita wewe. Sigeuki.OK..mfano umekutana na mwanaume barabarani,,hamfahamiani.
Anataka kukusimamisha,,,,unapenda akuite kwa jina gani kwa mfano.?
--Wewe Dada?
--Wewe sister?
--Au mrembo?
--Au wewe mama?.
--Au psii!! Psiii!!psii!!?
-- au oyaa,,oyaa?
Unapenda uitwe kwa jina gani ili uvutiwe na kumsikiliza mwanaume anayekusimamisha?
Waweza niconfront like "habari za saa hizi dada... salama? Huku tukiongozana.na uongee kiume kweli siyo kihuni maana sitakujibu kitu. Na kama una gari ukapiga honi ni dharau tayari. Unapaswa kunifata kwa mwendo naptembea na upark gari pembeni ushuke na unifate ndo utapata attantion yangu. Hatuko obssessed kihivyo na ndoa wengine. Heshima ndo kila kitu.