Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Nakupa bonge la sonyo. Enzi hizo sijielewi nilikua nasimama na nafurahia. The sooner i learnt my value weeeeeeee..... kwanza hata muonekano wako nakuthaminisha kama umevaa kihuni, siyo nywele chafu chafu, sijui umesokota nywele ama umepeka bleach halaf nikusikilize. Mwenyewe sipaki bleach halaf ndo nikusikilize?[emoji28] yaaan principals ndo kila kitu.
Mtatuua jamani, kwahio tuvae moka na kuchomekea kabla hatujaita 😁😁😁
 
Nakupa bonge la sonyo. Enzi hizo sijielewi nilikua nasimama na nafurahia. The sooner i learnt my value weeeeeeee..... kwanza hata muonekano wako nakuthaminisha kama umevaa kihuni, siyo nywele chafu chafu, sijui umesokota nywele ama umepeka bleach halaf nikusikilize. Mwenyewe sipaki bleach halaf ndo nikusikilize?[emoji28] yaaan principals ndo kila kitu.
Unakuta nywele timutimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Kuna wanaume jamani [emoji134]
Au mwingine amevaa kaptura iko juu ya magoti mtoto wa kiume afu kimembana wee[emoji119]
 
Soma comment yangu ya chini.
Kuna comment nimeandika leo.

Nasema pesa si kila kitu nikimaanisha kwamba kuna vitu vingine mbali na pesa vinavyoweza kuprove upendo kwa mtu.
-Heshima
-Kujali
-lugha nzuri
-Muda wako
Na jinsi tu ulivyo,unavyoishi,bidii yako,maono yako vinatosha kumvutia mtu kukupenda.
Halafu sijui kwann wanashindwaga kuelewa si kila mtu kwake hela ndo first priority ktk mapenz. Wengine tuliacha wanaume baada ya kujua wana pesa nyingi vibaya mno with shock. Tena ndo nikakuta mwanaume wangu unajiassociate na wasanio ndo nitakimbia kufaa. Hela si kila kitu kwetu. Siue pia tunazo kumbafuu zenu[emoji23][emoji23]
Na kuzitafuta pia tunajua. Msitubabaishe kbs kuhusu hela tunataka mapenzi, time, affection, attention... yaan bega lako niliegemee kila saa. Vizawadi ndo kila kitu. Wala siyo nyumba wala gari. Vizawadi visogo vidogo tu. Urafiki. So muelewe hili
 
Yani mwanamke kama wewe ndio atakula hela yangu mpaka basi maana najua siitupi nampa mpenzi wangu indeed! [emoji13][emoji13][emoji13] Hata siku nikiwa sina hawezi lalamika mbona leo huna.

Ila kwa wale matapeli na omba omba mkataba unaishaga baada ya kutafunwa tu.
Watu wamekariri mapenzi Ni pesa.
Pesa hata mm mbona naweza toa nikampa mwanaume mkusaidia,
Inatakiwa kuniuliza nje na pesa,una kitu gani kingine?
 
Halafu sijui kwann wanashindwaga kuelewa si kila mtu kwake hela ndo first priority ktk mapenz. Wengine tuliacha wanaume baada ya kujua wana pesa nyingi vibaya mno with shock. Tena ndo nikakuta mwanaume wangu unajiassociate na wasanio ndo nitakimbia kufaa. Hela si kila kitu kwetu. Siue pia tunazo kumbafuu zenu[emoji23][emoji23]
Na kuzitafuta pia tunajua. Msitubabaishe kbs kuhusu hela tunataka mapenzi, time, affection, attention... yaan bega lako niliegemee kila saa. Vizawadi ndo kila kitu. Wala siyo nyumba wala gari. Vizawadi visogo vidogo tu. Urafiki. So muelewe hili
Ewaaa[emoji7]hapo kwenye zawadi umemaliza kila kitu..
Hakuna kitu kinateka hisia Kama zawadi,yaani ukipewa zawadi hata Kama ni ndogo unajiona nani sijui[emoji7][emoji2960]

Mimi nilishasema mwanaume asije tegemea eti ntamuomba pesa yake,hata ningekuwa na shida vipi...anipe tu kwa upendo akitaka ila asije tegemea kama all i need kwake ni hela.
 
Mtatuua jamani, kwahio tuvae moka na kuchomekea kabla hatujaita [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaaan muonekano wako inatoa expression ya kila kitu juu yako. Kuna kaka mmoja limbukenk sana. Yaan hajasokota dread amekuja sokota saa hizi uzeeni[emoji119][emoji119]
Sasa atanambia nn huyu boya sasa hv? Na hapo ana kazi tena kwenye moja ya taasisi za Elimu ila wamefungiwa kwa sasa. Nani atampa hata hiyo ajira? Ndo maana utakuta mwanamke atapambana mwanaume wake awe gentle kwa muonekano. Tukiwanunulia nguo kuna mengi nyuma yake
 
Unakuta nywele timutimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Kuna wanaume jamani [emoji134]
Au mwingine amevaa kaptura iko juu ya magoti mtoto wa kiume afu kimembana wee[emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23] vinjuga hivyoo. Wanaume wa dar hao dear. Tukiwaambia hapa wanaona masikhata mweh
 
Mtatuua jamani, kwahio tuvae moka na kuchomekea kabla hatujaita [emoji16][emoji16][emoji16]
Unakuta mtu amevaa yaani utadhani anaenda kucheza singeli,nywele timutimu kichwani Kama nzi vimesokotwa weee mtoto wa kiume[emoji26],suruali ina mashimo mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume anaonyesha paja.
Yawezekana Mimi ndio mshamba ila mtu anayevaa hovyo hapana kwa kweli..
 
Halafu sijui kwann wanashindwaga kuelewa si kila mtu kwake hela ndo first priority ktk mapenz. Wengine tuliacha wanaume baada ya kujua wana pesa nyingi vibaya mno with shock. Tena ndo nikakuta mwanaume wangu unajiassociate na wasanio ndo nitakimbia kufaa. Hela si kila kitu kwetu. Siue pia tunazo kumbafuu zenu[emoji23][emoji23]
Na kuzitafuta pia tunajua. Msitubabaishe kbs kuhusu hela tunataka mapenzi, time, affection, attention... yaan bega lako niliegemee kila saa. Vizawadi ndo kila kitu. Wala siyo nyumba wala gari. Vizawadi visogo vidogo tu. Urafiki. So muelewe hili
Wanawake aina hii mmebaki wachache sana sokoni. Soko limejaa matapeli na wafanyabiashara wa papuchi 😁😁😁!
Kama uko na unayaishi maneno yako basi hakika unafaa, umekidhi kigezo muhimu
 
Ewaaa[emoji7]hapo kwenye zawadi umemaliza kila kitu..
Hakuna kitu kinateka hisia Kama zawadi,yaani ukipewa zawadi hata Kama ni ndogo unajiona nani sijui[emoji7][emoji2960]

Mimi nilishasema mwanaume asije tegemea eti ntamuomba pesa yake,hata ningekuwa na shida vipi...anipe tu kwa upendo akitaka ila asije tegemea kama all i need kwake ni hela.
Zawadi unanimaliza kabisa. Napenda kutoa na natamani kupokea. Ila wanaume wengine wachoyo nyiee[emoji23]
Nimeambuliaga kiduunchuuuuuu. Yaan si wabunifu na hawajui kujiongeza. Mtu anayeniletea tuzawadi ni rahisi zaidi kuuteka moyo wangu kuliko mtu wa miamala. Mtu anayenijali kwangu wa thaman sana. Namthamini mno mno mno.
 
Itabidi nikutaftiemo ka gift mrembo

Usitie shaka we uniambie unapendelea nini tu ili nikusortie ka suprise 😁
 
Back
Top Bottom