Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
!
!
Mpe Hela. Mpe Hela. Mpe Hela
!
Mpe Hela. Mpe Hela. Mpe Hela
Mwanamke kama hana hisia na wewe ni ngumu sana kumbadilisha.Wana JamiiForums habari zenu, poleni kwa mihangaiko.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa wale mnao wajua wasichana kiundani zaidi ( mliobobea zaidi kwenye masuala ya mahusiani)
Naombeni trick za namna gan naweza date na demu mkali/mrembo pasipo kupoteza muda kumtongoza ila kwa mambo flani tu agundue kwamba huyu mtu anampenda?
Mnaona wapo after money kwa sababu mlishakariri"mpe hela mpe hela"Dada bila shaka utakuwa ni mke wa mtu au una mtu unamdate right ? what if he goes broke through out the year unaweza vumilia ? Sisi tunasema hivyo kutokana na experince tunayopata na tunaongelea ile ratio kubwa, kama wewe uko hivyo sawa ila wengi wao ni noma...Mfano mimi huwa nikitaka kudate na mwanmke huwa namtest kwanza kwake which is which ni hela au upendo nikiona hela nikimpa mara mbili inatosha naanza kumkataa ila nikiona ni upendo huyo mwanamke atakula hela yangu mpaka achanganyikiwe yan nakuwa najitoa..Tuseme ukweli wanawake wengi wapo after money, awe ameolewa au hajaolewa ...
Code iko wapi hapo?Mkuu Tataachaje kuyumba kama ufafanuzi tu unatolewa kwa code.
Kama me navyo kulavo lavo ma beibe 😝Mchane tuu, naku love you love you we dada, basi imeishaaaa
Ila ukidundwa mi sipoo😜
Yani gharama yote hio ili upate papuchi chakavu tu!?Mpe 1M akafanye shopping huku ukimuaidi harrier matako ya nyani.
Kweli ipo kazi😝Kwanini uite "wewe" tayari nitakuona ni muhuni tuu. Si zipo rules za jinsi gentlemen wanatakiwa wabehave? Usike ukaniita wewe. Sigeuki.
Waweza niconfront like "habari za saa hizi dada... salama? Huku tukiongozana.na uongee kiume kweli siyo kihuni maana sitakujibu kitu. Na kama una gari ukapiga honi ni dharau tayari. Unapaswa kunifata kwa mwendo naptembea na upark gari pembeni ushuke na unifate ndo utapata attantion yangu. Hatuko obssessed kihivyo na ndoa wengine. Heshima ndo kila kitu.
Huyu manz ni mlokole bruh, she has a different philosophy when it comes to relationship. Her perspective aint money ila kuna wengine bila pesa they think you are a joke. Lazma utoboke kweli kweli ili wa prove seriousness yako.Dada bila shaka utakuwa ni mke wa mtu au una mtu unamdate right ? what if he goes broke through out the year unaweza vumilia ? Sisi tunasema hivyo kutokana na experince tunayopata na tunaongelea ile ratio kubwa, kama wewe uko hivyo sawa ila wengi wao ni noma...Mfano mimi huwa nikitaka kudate na mwanmke huwa namtest kwanza kwake which is which ni hela au upendo nikiona hela nikimpa mara mbili inatosha naanza kumkataa ila nikiona ni upendo huyo mwanamke atakula hela yangu mpaka achanganyikiwe yan nakuwa najitoa..Tuseme ukweli wanawake wengi wapo after money, awe ameolewa au hajaolewa ...
Mimi mwenyewe mtu akishaweka tu "wewe" siitiki.Kwanini uite "wewe" tayari nitakuona ni muhuni tuu. Si zipo rules za jinsi gentlemen wanatakiwa wabehave? Usike ukaniita wewe. Sigeuki.
Waweza niconfront like "habari za saa hizi dada... salama? Huku tukiongozana.na uongee kiume kweli siyo kihuni maana sitakujibu kitu. Na kama una gari ukapiga honi ni dharau tayari. Unapaswa kunifata kwa mwendo naptembea na upark gari pembeni ushuke na unifate ndo utapata attantion yangu. Hatuko obssessed kihivyo na ndoa wengine. Heshima ndo kila kitu.
[emoji28][emoji28][emoji28] tuealetee kitabu cha ujasusi nini mpate nondo? Utapata mwanamke wa aina uliyomtongoza kutikana na style uliyomtongoza. Utapata either a girl ama a ladyKweli ipo kazi[emoji13]
Thank you Madame. Wanafikiri labda tunajipa hadhi sanaaa. Lakini mwanaume lazima awe na polite ways za kumcomfront mwanamke anayemaanisha kweli kumuhitaji. Or else atapata a school girlMimi mwenyewe mtu akishaweka tu "wewe" siitiki.
Kuna namna nzuri ya kumuita mtu.
Uchawi wa KIZUNGU huo haruki.Azima ndinga mvizie mitaa yake Fanya juu chini umpe lift hapo utatongozwa wewe
Anne na wanawake wengine is that wewe sio mroho wa pesa, and you really seek for love in a relationship sio maslahi!Mnaona wapo after money kwa sababu mlishakariri"mpe hela mpe hela"
Kumjali mtu na kumpenda kwa dhati na kumpa muda wako inatosha kabisa.
Yawezekana wanawake tuna uhitaji wa pesa na Ni masikini (mfano mimi)
Ila hatuna dhiki kiasi Cha kuanza kuomba omba kwa wanaume.
Kati ya mwanaume aliye tanguliza hela mbele yaani anatoa tu hela na anayenijali kwa kunipa muda wake (kwa upande wangu)nachagua anayenipa muda wake.
Kuna muda misukosuko inatokea,pesa haitatui changamoto za ugomvi.
Soma comment yangu ya chini.By code, namaanisha pale mtu anapotoa ufafanuzi lakn bado ufafanuzi unaacha maswali mengi yanayohitaji ufafanuzi.
Mfano Mkuu pale uliposema "Hela ni muhimu lakini sio kila kitu"
Kwa tafsiri ya haraka ya ufafanuzi wako, huwezi kusema "hela sio kila kitu" kama "hujui kila kitu kwanza" ni nini.
Naamini ulisema kwa kujiamini hela sio kila kitu kwa sabb unajua kila kitu ni nini.
Ndio kuomba Mkuu hiyo code ya "kila kitu" uidecode yaani uitolee ufafanuzi.
Mifano ya code ktk huu uzi ni mingi, mtu mwingine anasema mwanaume ni uanaume, binafsi sidhan kama ni fair kuishia hapo bila kutoa ufafanuzi wa uanaume ili tuelewa.
Hey beautiful 😍😍😍 can i talk with you in a minute?Thank you Madame. Wanafikiri labda tunajipa hadhi sanaaa. Lakini mwanaume lazima awe na polite ways za kumcomfront mwanamke anayemaanisha kweli kumuhitaji. Or else atapata a school girl
Hizo lugha labda watumie kwa mabinti wa shule[emoji38]Thank you Madame. Wanafikiri labda tunajipa hadhi sanaaa. Lakini mwanaume lazima awe na polite ways za kumcomfront mwanamke anayemaanisha kweli kumuhitaji. Or else atapata a school girl
Yani mwanamke kama wewe ndio atakula hela yangu mpaka basi maana najua siitupi nampa mpenzi wangu indeed! 😝😝😝 Hata siku nikiwa sina hawezi lalamika mbona leo huna.Soma comment yangu ya chini.
Kuna comment nimeandika leo.
Nasema pesa si kila kitu nikimaanisha kwamba kuna vitu vingine mbali na pesa vinavyoweza kuprove upendo kwa mtu.
-Heshima
-Kujali
-lugha nzuri
-Muda wako
Na jinsi tu ulivyo,unavyoishi,bidii yako,maono yako vinatosha kumvutia mtu kukupenda.
Nakupa bonge la sonyo. Enzi hizo sijielewi nilikua nasimama na nafurahia. The sooner i learnt my value weeeeeeee..... kwanza hata muonekano wako nakuthaminisha kama umevaa kihuni, siyo nywele chafu chafu, sijui umesokota nywele ama umepeka bleach halaf nikusikilize. Mwenyewe sipaki bleach halaf ndo nikusikilize?[emoji28] yaaan principals ndo kila kitu.Hizo lugha labda watumie kwa mabinti wa shule[emoji38]
Eti mtu anaita "wewe mrembo,oyaa mrembo" Sasa sijui hata unageuka kumsikiliza nini wakati hata kuita tu amefeli.
Ukimpenda mtu huwezi kujificha mkuu, wapo ma gangwe ila walipopenda walishindwa na kulegea kwa jina la penzi😁Usifanye agundue unampenda otherwise unajua anakupenda, ila ukiona mpo mwanzon mfanye ajue upo kwa ajili yake
Kuna type ya watu, kuna wanaozingua wakijua wanapendwa kuna wanaopenda wakijua wanapendwa, ko jua tabia ya mnyama wako kabla hujamuwinda