Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Hahahahah nimekusoma, kumbe sintopata shida kuopoa jiko basi [emoji13][emoji13][emoji13] yale ndio mavitu yangu most of the times
[emoji23][emoji23] kuna wakili mmoja ndo mikato yake. Ni braza.napendaga sana na anajua naipenda hiyo code balaaa. Ukivaa hivyo hata kwenye harusi ya watu nitamwomba Mc mic nuwaambie kila mtu huyu ni mume wangu kabisa.[emoji23][emoji23] wasiposikia nawakumbushia baadaye.
 
H

Hahahahah, hapo utakuwa umetisha sana 😝...
Kwa umri wangu lazma nile Bro codes tu. Zama za kuvaa midosho ya Supra zilishapita.
 
Ndiyo babe si unajua tena mambo ya new year! Aisee huku mtaani kwetu jana nimeona karibia watu wote wamelewa si bodaboda,magari!wala watembea kwa miguu ni mwendo wa kupepesuka tuu😀😀
Hahaha wewe hukugusa kilaji maana jana ilikuwa siku ya watu kujidunga vilevi tu 😂😂😂!
Leo ni siku ya mabeibe kuonana sasa. Andaa kitu cha Lunch naja baadae
 
Huyu manz ni mlokole bruh, she has a different philosophy when it comes to relationship. Her perspective aint money ila kuna wengine bila pesa they think you are a joke. Lazma utoboke kweli kweli ili wa prove seriousness yako.
Huyu Saint Anne na Heaven Sent ukiwaendea kwa hela mbele hauwezi kuwapata, hao kwenye mahusiano wanaangalia amani ya moyo, kujaliwa na mambo mengine, sio waumini wa pesa pesa pesa!!
 
Ni kweli, sina shaka na ndoa yako na bwana wa majeshi ebeneza[emoji2956][emoji2956][emoji2956]!

Ila nazungumzia ndoa ya hapa duniani ya kukamilisha kipengele cha kuujaza ulimwengu
Naisemea hiyohiyo [emoji23][emoji23]
Ni Mwaka wa 10 sasa.
 
Back
Top Bottom