toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Mnaona wapo after money kwa sababu mlishakariri"mpe hela mpe hela"
Kumjali mtu na kumpenda kwa dhati na kumpa muda wako inatosha kabisa.
Yawezekana wanawake tuna uhitaji wa pesa na Ni masikini (mfano mimi)
Ila hatuna dhiki kiasi Cha kuanza kuomba omba kwa wanaume.
Kati ya mwanaume aliye tanguliza hela mbele yaani anatoa tu hela na anayenijali kwa kunipa muda wake (kwa upande wangu)nachagua anayenipa muda wake.
Kuna muda misukosuko inatokea,pesa haitatui changamoto za ugomvi.
Kuna album moja ya Aliyah ilikuwa inaitwa one in a million naidedicate kwako, your different..Alafu sio ukiwa unampa hela humpi muda wako. Utakubaliana na mimi wanawake wengi wanadhani wakiwa hawapewi hela hawajaliwi right ??