Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hahah!Huyu Saint Anne na Heaven Sent ukiwaendea kwa hela mbele hauwezi kuwapata, hao kwenye mahusiano wanaangalia amani ya moyo, kujaliwa na mambo mengine, sio waumini wa pesa pesa pesa!!
Hahah!Huyu Saint Anne na Heaven Sent ukiwaendea kwa hela mbele hauwezi kuwapata, hao kwenye mahusiano wanaangalia amani ya moyo, kujaliwa na mambo mengine, sio waumini wa pesa pesa pesa!!
Hakuna mtu asiyependa hela.cha kushangaza, ma SHE wa JF, watajidai hawapendi 'hela'
hii ndio pointHakuna mtu asiyependa hela
Pesa sio mapenzi ila ni Muhimu katika mapenzi..nadhani nilikuambia hivyo.Kuna sehemu uliniambia ni muhimu sana ili kupata penzi.. mbona tena hapa unasema hivi
It's right..Pesa sio mapenzi ila ni Muhimu katika mapenzi..nadhani nilikuambia hivyo.
Na tukisema mapenzi sio pesa hatumaanishi Sasa uwe mvivu,kila muda unalialia tu.
Wewe ulichokuwa unajaribu kutetea ni kutokutafuta pesa kabisa,huwezi ukampa mtu care kama hujui kutafuta pesa..pesa inatumika kununua vizawadi utakavyompa mtu..hapo unampa zawadi hujampa pesa.
Dah [emoji1787][emoji1787]Focus kwenye masomo,hakikisha mtihani wako wa mock unapiga one nzuri alafu muombe muwe mnadiscuss pastpaper pamoja,huu ushauri utakua unaendana na umri wako..swine
mkuu umenikumbusha OOP in javaimport java.util.Scanner;
public class Basic3 {
public static void main(String[] args) {
System.out.println("Please enter your name:");
Scanner input = new Scanner(System.in);
String name = input.next();
System.out.println("Good Job Mr" + name);
}
}
Soko limejaa matapeli na wafanyabiashara wa papuchi
Huyo ni wewe na kwa mtazamo wako uko sawa.It's right..
But kwa upande wangu I want you to love me because you love me.. sio kwasababu naweza kukupa zawadi..sio kwasababu naweza kukuhudumia. Upendo pekee ndio uwe kiungo chetu kikuu kilichotuunganisha. No strings attached.
Hivyo basi nitafanya kika kitu ujue sina uwezo wa kuhudumia au kukupa zawadi maana nina falsafa yangu inasema "Muonyeshe watu upande wako mbaya ili uone nani atabaki nawe richa ya ubaya huo..sio umuonyeshe upande mzuri ili abaki nawe"
That's me
Sasa kabla hujatamka,utatumia njia gani ajue kuwa unataka tamka??Kumpa zawadi,kumjali na mudasawa.. Naweza kuvitoa ila hatakiwa kunikubali kwakua naweza kumpa zawadi au hua nampa zawadi. Hapo nitakua nimenunua penzi na loyalty yake.
Naweza kumjali na kumpa myda bila pesa au material yoyote kutumika na akaelewa nampenda.
Hua sitamki hovyo neno nakupenda..na nikilitamka hua namaanisha. Na ninayemwambia ataelewa tu kua natamka toka moyoni.
Huyu Saint Anne na Heaven Sent ukiwaendea kwa hela mbele hauwezi kuwapata, hao kwenye mahusiano wanaangalia amani ya moyo, kujaliwa na mambo mengine, sio waumini wa pesa pesa pesa!!
Yah, hawa wapelekee maua maua na tubox twa zawadi wakati unawasilisha sera zako
Na uwe muhudhuria ibada.
kinoma noma[emoji23][emoji23][emoji23] Market hapaeleweki sio?
mkuu umenikumbusha OOP in java
Sasa si ndio hivyo tumevitaja hapa.Mimi naamini mapenzi ya kweli yanaonyeshwa kwa vitu visivyoshikika. Kama kukujali na kukupa muda wangu..uzuri wanawake mnaweza tambua kama mtu anadanganya upendo au yupo real.
Naweza kumuonyesha kua nampenda kwa kumjali. Na kumjali mtu sio lazima utoe material things
Huyu manz ni mlokole bruh, she has a different philosophy when it comes to relationship. Her perspective aint money ila kuna wengine bila pesa they think you are a joke. Lazma utoboke kweli kweli ili wa prove seriousness yako.
Hahahah nikajua soko huria 😂
My niggah, hii planet made up of full of bastards left n right tusingekuwa nayo.I understand situations bruh. No offense lakini walokole wengi hawanaga experince na the streets, I am wrong ?..I am talking about whats n the grounds...ila kusema ukweli wanawake wote wangekuwa na namna ya kufikir kama huyu dada, then hii dunia ingekuwa sehemu nzuri sana kuishi, instead planet earth is full of monsters...