miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,088
Kwanini uite "wewe" tayari nitakuona ni muhuni tuu. Si zipo rules za jinsi gentlemen wanatakiwa wabehave? Usike ukaniita wewe. Sigeuki.OK..mfano umekutana na mwanaume barabarani,,hamfahamiani.
Anataka kukusimamisha,,,,unapenda akuite kwa jina gani kwa mfano.?
--Wewe Dada?
--Wewe sister?
--Au mrembo?
--Au wewe mama?.
--Au psii!! Psiii!!psii!!?
-- au oyaa,,oyaa?
Unapenda uitwe kwa jina gani ili uvutiwe na kumsikiliza mwanaume anayekusimamisha?
Imagine. Unanpenda mtu halaf unamuita kwa wewe... hapo ni utovu wa nidhamu tayari. Kwann uniite ukiwa mbali? Kwann usinikimbilie kisha ulanisemesha usawa wangu na wakoDaah ndugu yangu wewe unashida unamiaka mingapi kwani?
Wavulana ndio maana hamfanikiwi.Anachoongea madam ni kweli. Tuwe kama wanaume jamani in order to be successfulImagine. Unanpenda mtu halaf unamuita kwa wewe... hapo ni utovu wa nidhamu tayari. Kwann uniite ukiwa mbali? Kwann usinikimbilie kisha ulanisemesha usawa wangu na wako
Pesa si mapenzi
It is more likespend_on_her= True
not_spend_on_her= False
if spend_on_he:
print("She is yours")
print("your going to win her love")
elif not_spend_on_her:
print("She will never be yours")
print("Your going to loose this battle")
else:
print("Ndugu yangu hela ndio kila kitu")
print("Mpe pesa, mpe pesa, mpe pesa")
Mfanyie MUAMALAWana JamiiForums habari zenu, poleni kwa mihangaiko.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa wale mnao wajua wasichana kiundani zaidi ( mliobobea zaidi kwenye masuala ya mahusiani)
Naombeni trick za namna gan naweza date na demu mkali/mrembo pasipo kupoteza muda kumtongoza ila kwa mambo flani tu agundue kwamba huyu mtu anampenda?
Haaahaaa umeju kunichekesha dah!Focus kwenye masomo,hakikisha mtihani wako wa mock unapiga one nzuri alafu muombe muwe mnadiscuss pastpaper pamoja,huu ushauri utakua unaendana na umri wako..swine
AiseeMpe 1M akafanye shopping huku ukimuaidi harrier matako ya nyani.
Mchane tuu, naku love you love you we dada, basi imeishaaaa
Ila ukidundwa mi sipooπ
Thank you Chali ya Ar!happy new year to youNaku'love you,love you we Dada
Thanks a lot Mamalai..Likewise,, Niko Tengeru nale nduu kama naenda Meru kwa Mguu..Karibu pande izi mambo ni wiuwiu DadalaiThank you Chali ya Ar!happy new year to you
It is more like
package love.life;
public interface Affection {
public void love();
public void care();
public void like();
}
package love.life;
public interface Financial {
public void spendMoney();
public void investMoney();
public void shareMoney();
public void receiveMoney();
}
package love.life;
public abstract class Love implements Financial, Affection{
}
package love.life;
public class MyLove extends Love{
public void love() {
System.out.println("this is how i love ");
}
public void care() {
System.out.println("This is how i care");
}
public void like() {
System.out.println("This is what i like");
}
public void spendMoney() {
System.out.println("This is what iam willing to spend");
}
public void investMoney() {
System.out.println("This is what iam willing to invest");
}
public void shareMoney() {
System.out.println("This is how we share");
}
public void receiveMoney() {
System.out.println("it good to receive ");
}
}
package love.life;
public class Main {
public static void main(String[] args) {
MyLove mylove = new MyLove();
mylove.care();
mylove.love();
mylove.investMoney();
mylove.like();
mylove.spendMoney();
mylove.shareMoney();
mylove.receiveMoney();
}
}
Mkuu mwanaume kuhudumia ni wajibu na huwezi ishi na mwanamke ilihali huwezi mhudumia. Mapenzi siyo pesa labda kwa changudoa anayefanya hiyo biashara na wao siyo wote lazima watoe pesa, kuna wengine wanapewa bure kabisa.Hujakosea, ila hayupo mwanamke wakumvumilia a broke dude forever...Usimdanganye HELA LAZIMA IWEPO, hata mke wako kama huna hela itafika kipindi atakuona wewe nyani tu, hatasema ila ugomvi utakuwa hauosh ndani ya nyumba...Hakuna namna hela ndio kila kitu
Mimi ni mwanamke.Hujakosea, ila hayupo mwanamke wakumvumilia a broke dude forever...Usimdanganye HELA LAZIMA IWEPO, hata mke wako kama huna hela itafika kipindi atakuona wewe nyani tu, hatasema ila ugomvi utakuwa hauosh ndani ya nyumba...Hakuna namna hela ndio kila kitu
Wana wanayumbaMimi ni mwanamke.
Hela ni Muhimu lakini si Kila kitu.
Nyie mlishajiwekea Imani kuona kama hela ni kila kitu,kila sehemu mnasema hela,hela.
Mimi ni mwanamke.
Hela ni Muhimu lakini si Kila kitu.
Nyie mlishajiwekea Imani kuona kama hela ni kila kitu,kila sehemu mnasema hela,hela.
Mkuu mwanaume kuhudumia ni wajibu na huwezi ishi na mwanamke ilihali huwezi mhudumia. Mapenzi siyo pesa labda kwa changudoa anayefanya hiyo biashara na wao siyo wote lazima watoe pesa, kuna wengine wanapewa bure kabisa.
Simama kama mwanaume anayejielewa na kutambua wajibu wake kwa mwanamke hapo utaweza kumpata mwanamke yeyote hatakama huna utajri.
Huwa tunakuza vitu sana lakini kiukweli mwanamke anahitaji vitu vidogo sana ili umpate.
Mbinu za kumpata mwanamke zinategemea level ya UANAUME wako. Ukiwa smart na unajielewa fresh, utawapata.