Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Mwanamke kama hana hisia na wewe ni ngumu sana kumbadilisha.
 
Mnaona wapo after money kwa sababu mlishakariri"mpe hela mpe hela"

Kumjali mtu na kumpenda kwa dhati na kumpa muda wako inatosha kabisa.

Yawezekana wanawake tuna uhitaji wa pesa na Ni masikini (mfano mimi)
Ila hatuna dhiki kiasi Cha kuanza kuomba omba kwa wanaume.
Kati ya mwanaume aliye tanguliza hela mbele yaani anatoa tu hela na anayenijali kwa kunipa muda wake (kwa upande wangu)nachagua anayenipa muda wake.

Kuna muda misukosuko inatokea,pesa haitatui changamoto za ugomvi.
 
Kweli ipo kazi😝
 
Huyu manz ni mlokole bruh, she has a different philosophy when it comes to relationship. Her perspective aint money ila kuna wengine bila pesa they think you are a joke. Lazma utoboke kweli kweli ili wa prove seriousness yako.
 
Mimi mwenyewe mtu akishaweka tu "wewe" siitiki.
Kuna namna nzuri ya kumuita mtu.
 
Kweli ipo kazi[emoji13]
[emoji28][emoji28][emoji28] tuealetee kitabu cha ujasusi nini mpate nondo? Utapata mwanamke wa aina uliyomtongoza kutikana na style uliyomtongoza. Utapata either a girl ama a lady
 
Tofauti yako Anne na wanawake wengine is that wewe sio mroho wa pesa, and you really seek for love in a relationship sio maslahi!

Well, mi naheshimu wanawake wa aina yako sana kuliko aina ile ya wapenda hela coz nawaona wanafiki tu. Pesa sio mapenzi na kuanzisha uhusiano na mtu kwenye grounds za kuwa ana hela ipo siku zikipungua au kuisha mtaingia kwenye mtafaruku mkubwa sababu ile subject of interest haipo.

Muda ni precious kuliko kitu chochote ila mtu anaefikiria kiwepesi ataona hela ndio ya thamani. Bila muda hata hela hio haipatikani, we get money cause we dedicate our time katika shughuli za uzalishaji ama biashara.
 
Soma comment yangu ya chini.
Kuna comment nimeandika leo.


Nasema pesa si kila kitu nikimaanisha kwamba kuna vitu vingine mbali na pesa vinavyoweza kuprove upendo kwa mtu.
-Heshima
-Kujali
-lugha nzuri
-Muda wako
Na jinsi tu ulivyo,unavyoishi,bidii yako,maono yako vinatosha kumvutia mtu kukupenda.
 
Thank you Madame. Wanafikiri labda tunajipa hadhi sanaaa. Lakini mwanaume lazima awe na polite ways za kumcomfront mwanamke anayemaanisha kweli kumuhitaji. Or else atapata a school girl
Hey beautiful 😍😍😍 can i talk with you in a minute?
 
Thank you Madame. Wanafikiri labda tunajipa hadhi sanaaa. Lakini mwanaume lazima awe na polite ways za kumcomfront mwanamke anayemaanisha kweli kumuhitaji. Or else atapata a school girl
Hizo lugha labda watumie kwa mabinti wa shule[emoji38]

Eti mtu anaita "wewe mrembo,oyaa mrembo" Sasa sijui hata unageuka kumsikiliza nini wakati hata kuita tu amefeli.
 
Usifanye agundue unampenda otherwise unajua anakupenda, ila ukiona mpo mwanzon mfanye ajue upo kwa ajili yake
Kuna type ya watu, kuna wanaozingua wakijua wanapendwa kuna wanaopenda wakijua wanapendwa, ko jua tabia ya mnyama wako kabla hujamuwinda
 
Yani mwanamke kama wewe ndio atakula hela yangu mpaka basi maana najua siitupi nampa mpenzi wangu indeed! 😝😝😝 Hata siku nikiwa sina hawezi lalamika mbona leo huna.

Ila kwa wale matapeli na omba omba mkataba unaishaga baada ya kutafunwa tu.
 
Hizo lugha labda watumie kwa mabinti wa shule[emoji38]

Eti mtu anaita "wewe mrembo,oyaa mrembo" Sasa sijui hata unageuka kumsikiliza nini wakati hata kuita tu amefeli.
Nakupa bonge la sonyo. Enzi hizo sijielewi nilikua nasimama na nafurahia. The sooner i learnt my value weeeeeeee..... kwanza hata muonekano wako nakuthaminisha kama umevaa kihuni, siyo nywele chafu chafu, sijui umesokota nywele ama umepeka bleach halaf nikusikilize. Mwenyewe sipaki bleach halaf ndo nikusikilize?[emoji28] yaaan principals ndo kila kitu.
 
Usifanye agundue unampenda otherwise unajua anakupenda, ila ukiona mpo mwanzon mfanye ajue upo kwa ajili yake
Kuna type ya watu, kuna wanaozingua wakijua wanapendwa kuna wanaopenda wakijua wanapendwa, ko jua tabia ya mnyama wako kabla hujamuwinda
Ukimpenda mtu huwezi kujificha mkuu, wapo ma gangwe ila walipopenda walishindwa na kulegea kwa jina la penzi😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…