The Mandingo
Member
- Feb 13, 2017
- 7
- 17
Ungeoa mapema ili iweje mkuuMimi aisee ningeoa mapema,,,
Ukiwa kwenye ndoa na una kipato mambo yako yanaenda,,unaachana na anasa za duniani,,,Ungeoa mapema ili iweje mkuu
SanaaaMaisha ya kijijini matamu sana kuliko ya mjini
Hii uongoMaisha ya kijijini matamu sana kuliko ya mjini
Hii ndio uhakika💯Kushindwa ni sehemu ya mafanikio/kutokata tamaa
Kweli kabisa MkuuKumtafuta Mungu na ufalme wake, mengine yote ningezidishiwa
Kwa Nini mkuu ?Ningefahamu mapema wilaya ya tandahimba mtwara
Amina. Namshukuru Mungu nimeijua njia ya kweliKweli kabisa Mkuu
Me too.