Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ukipigwa vizuri utasema tu 😂😂nikisema hapa , wadau watahisi MIMI NA WEWE NI WAPENZI, kwahiyo acha ninyamaze tu
Mr fantastic_ njoo tumchangie huyu kijana atuelezee!
Ukipigwa vizuri utasema tu 😂😂nikisema hapa , wadau watahisi MIMI NA WEWE NI WAPENZI, kwahiyo acha ninyamaze tu
KumbeHii uongo
Kwa kweliTuambie kilichukupata tukusaidie
Kuchelewa kukutana na watu sahihi wenye kiu ya kutafuta pesaSalaam
Kichwa cha mada cha husika
Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika na kuwa bora zaidi ya ulivyo leo
Ni mengi sana mkuu, nimekosea kwingi mno iwapo ningefanya kama vile ilivyotakiwa iwe leo yangu ingekuwa bora kwakweli 😭Salaam
Kichwa cha mada cha husika
Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika na kuwa bora zaidi ya ulivyo leo
Huu uongo,nilikuwa nasema hivyo oia bora kijijini kuliko mjini.....kilichonikuta uko bush sitosahauHii uongo
Kange siku hizi kuna mahali kunaitwa uzunguni?Naona kila kitu kama kimepangwa ,nilipo sasa hata sielewi nimefikaje na miaka inaenda tu ..Kikubwa kutokujilaumu na kusimama mwenyewe...Miaka 6 nyuma nilikuwa mzee wa kuzunguka Dar bila ya kusettle.
Kama ningejua ningenunua viwanja vyangu huku kange uzunguni -Tanga.
hakuna alienunua bitcoin aje kua tajiri wote waliotajirika na btc walikua wanaitumia kama njia ya kufanya miamala baadae wakaja kuachana nayo walikuja kushtuka bei imepanda ndo wakachomoa pesaNingenunua Bitcoin 2013
Fursa zpi hizo mkuuKuna fursa sana kama una mtaji