Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

kilakitu nimekifanya right na naendelea kukua vizuri.kitu ninacho shukuru nikufeli sekondari nililia kumbe mungu alinionyesha njia nzuri.

nilikuwa nataka niwe engineer mkubwa kama babamdogo lakini hesabu zikaniangusha necta nanilikuwa naziweza haswa sijui kilitokea nini hadi nikafeli

Leo hii nimekuwa mechanical engineer wamitambo ya magari yakisasa ndani ya miaka 4 aisee nashukuru sana dunia naiona vizuri nashambulia kwakutokea pembeni kama winga teleza👉👉👉👉
Mechanical engineer maeneoo gani
 
Kufanya/kuonyesha/kupitia kile ambacho watu wanaokuzunguka wanataka "Wao" wakione, ilihali ukifanya mambo yako pembeni kwa usahihi mkubwaa
 
1995 kama ningejua hayati MREMA na NCCR MAGEUZI ni CCM B na alikuwa shushushu TISS nisingepoteza muda wangu na nguvu zangu na pesa zangu ,katika kazi za chama cha NCCR MAGEUZI.(nisingepoteza muda na siasa za NCCR MAGEUZI)

kama vijana wa leo walivyopoteza vingi mpaka UHAI ,WAMEUWAWA NA WATU WASIOJULIKANA,NA KUTEKWA kwa siasa ya chadema ya mbowe huku wakidhani ni MWAMBA WAO.
Na ukasukuma gari ya Mrema ulivyokuwa bwege
 
Kwamba degree inaweza kubaki karatasi, ningezingatia Ufugaji Kuku nilioanzisha nikiwa form 2, sasa hivi ningekuwa bilionea mfugaji kuku.
 
Nisingeoa moshi na ningenunua bitcoin wakati zinauzwa cents na nilipuuza leo hii ningekuwa kwnye vikao vya kuchangia sisiemu😛
 
Kilimo sio dili kabisaaa
Zile hela nilizopoteza kwenye kilimo ningefungua tu biashara nyengine.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
kilakitu nimekifanya right na naendelea kukua vizuri.kitu ninacho shukuru nikufeli sekondari nililia kumbe mungu alinionyesha njia nzuri.

nilikuwa nataka niwe engineer mkubwa kama babamdogo lakini hesabu zikaniangusha necta nanilikuwa naziweza haswa sijui kilitokea nini hadi nikafeli

Leo hii nimekuwa mechanical engineer wamitambo ya magari yakisasa ndani ya miaka 4 aisee nashukuru sana dunia naiona vizuri nashambulia kwakutokea pembeni kama winga teleza👉👉👉👉
Ulisoma kozi ipi hiyo mkuu tuelekezane
 
Back
Top Bottom