Lakini tuambiane ukweli bila kufanya kazi uongoKumtafuta Mungu na ufalme wake, mengine yote ningezidishiwa
Kwanini ufafanuzi tafadhariNingefahamu mapema wilaya ya tandahimba mtwara
Sasa hapo maisha yako yangebadilika vipi mkuu 😅😉Ningezaliwa miaka mitatu kabla ya Binti wa zamani
Atoe ufafanuzi halafu Binti wa zamani nakupenda kijana wa 2000 hapa.Sasa hapo maisha yako yangebadilika vipi mkuu 😅😉
Kuliko kutojaribu kabisa.Kushindwa ni sehemu ya mafanikio/kutokata tamaa
Kama wanamanyasi nyasi kijani ni mafisiSalaam
Kichwa cha mada cha husika
Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika na kuwa bora zaidi ya ulivyo leo
ndiyo, katika kazi zako uenende katika kumtumikia na kumtii Yeye MunguLakini tuambiane ukweli bila kufanya kazi uongo
Amina. Hatujachelewa, Mungu ni mwema wakati woteNINGEACHA DHAMBI MAPEMA (Ningeokoka mapema),Ningemtumikia Mungu wakati wa ujana wangu...
Huwa nikiona vijana wadogo wanamtumikia Mungu kwa kuimba kwaya,kupiga vyombo vya mziki kanisani,viongozi wa jumuiya,wazee wa kanisa,wanashiriki kazi mbalimbali za kanisa,uinjililist pamoja na elimu yao ya kubwa na kazi zao nzuri,bado wanamtumikia Mungu kwa bidii wakiwa vijana wabichi na wenye nguvu..
HUWA NAJUTIA UJANA WANGU sikumtumikia Mungu kama wao,ila WATOTO wangu ninawafundisha kumjua Mungu mapema..wasiwe kama mimi ujana wangu niliuchezea kwa anasa sizizokuwa na faida yotote usela nondo ujanja pori ambao hauna faida.
nikisema hapa , wadau watahisi MIMI NA WEWE NI WAPENZI, kwahiyo acha ninyamaze tuSasa hapo maisha yako yangebadilika vipi mkuu 😅😉
Hahahaa!!! Mzee wa talaka nakukubali sana.Nisingeoa ningekua mbali mnoo siwezi imagine