Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

Mechanical engineer maeneoo gani
 
Kufanya/kuonyesha/kupitia kile ambacho watu wanaokuzunguka wanataka "Wao" wakione, ilihali ukifanya mambo yako pembeni kwa usahihi mkubwaa
 
Na ukasukuma gari ya Mrema ulivyokuwa bwege
 
Kwamba degree inaweza kubaki karatasi, ningezingatia Ufugaji Kuku nilioanzisha nikiwa form 2, sasa hivi ningekuwa bilionea mfugaji kuku.
 
Nisingeoa moshi na ningenunua bitcoin wakati zinauzwa cents na nilipuuza leo hii ningekuwa kwnye vikao vya kuchangia sisiemu๐Ÿ˜›
 
Kilimo sio dili kabisaaa
Zile hela nilizopoteza kwenye kilimo ningefungua tu biashara nyengine.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ulisoma kozi ipi hiyo mkuu tuelekezane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ