Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui?

Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui kama linakukwaza.

Tupa jiwe gizani ujumbe ufike
Kujamba na kukoroma usiku, ukimwambia anakwenda kwa nyumba kumi
 
Kulazimishana kufanya jambo ambalo sina interest nalo, tunapoelekea nitakuwa single
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…