Ni Jambo gani la ujasiri sana uliwahi kufanya mpaka leo ukikumbuka unafurahia na kujiona mwamba...

niligegeda wadada wa3 wa tumbo 1, nilianza wa kati, nikaja wa kwanza na nikamalizia wa mwisho, nikajiona kidume
 
Siku nilijipatia ka bekitatu ka jirani wanoko walishtukia Wakaja kuweka mkeka karibu na mlangoni kwangu ili wamshuhudie akitoka
Basi nikapenyesha waya mbili L na N nilipigisha shot walikimbia nikatoa mtoto mpaka kesho najisifu sana
 
tumbo lilibana kupita maelezo nikiwa katika pita pita nikawa sina jinsi, jirani kambi ya wajeda na mimi nikazamia hadi choo chao nikafanya mambo na kutokomea bila kugundulika.

usiniulize nilitumia mbinu gani maana kila mtu ana siri zake hadi kufa. 😎
 
Ebu weka sura yako hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gud njoo unipende mm sasa
 
Wee jamaa sijui umewaza nini aisee! ……………………………………………………
Nakumbuka kipindi niko mwaka wa Pili, nikisoma Stashahada ya Uhandisi Umeme, chuo kimoja hapa D'salaam tulikuwa tunakaa na Wanafunzi wa Shahada wale wa mwaka wa Kwanza kwenye Block Moja, wao wanakaa Flow ya Chini(Ground ) na Stashahada wanakaa Flow 2 za juu.Basi bwana mimi sikuwa Kiongozi yaani Block Manager wala Wing Leader; nikaenda kumwambia Waden wa Block tulilokuwa tunaishi kwamba "kuna baadhi ya Vitanda vya Wanafunzi vina kunguni Vikiwemo Vitanda 3 vya Room kwetu, ila watu hawataki kupigiwa dawa kwa sababu wanafanya Test II hivyo wanaogopa wataugua". Yule Waden akategea wanafunzi wa wote wameenda kwenye Vyumba vya Mitihani, akaamuru Block lote(Linaa Flow tatu) lipulizwe Dawa ya Mende,Kunguni, Mbu,Jongoo pamoja na Chawa bila hata kutoa Magogodoro nje au kusogeza pembeni!. Bahati mbaya au nzuri Godoro langu halikulowana kwa sababu ya ile dawa iliyokuwa imepigwa!


Baada ya Muda wanafunzi wakatoka kwenye Vyumba vya Mtihani Loooh! ilikuwa balaa kwangu yaani kila mtu ananifuata wanataka kunipa kisago! yaani palikuwa hapatoshi Vurugu za ugomvi, majigambo, vitisho pamoja na Matusi dah! ilikuwa balaa aisee! huku wengine wakisema "leo nachukua godoro lako nalalia" sasa nikifikiria magodoro ya watu yalivyolowana nabaki nimechanganyikiwa sina la kufanya!!!

Ila nashukuru Mungu hawakunipiga wala kunifanya chochote ila nilijutia sana kile kitendo yaani dah! nikumbuka huwa nabaki kucheka tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku nlifanya mapenzi kwenye basi,ilikuwa jioni natoka mbeya kwenda sumbawanga akaja akaaa binti mmoja ktk maongezi akatongozeka nkavuta kondom kwenye kabegi tulipotoka Tunduma hapa ktkt ilikuwa ni kulana tu mpaka swanga basi huwa lilizimwa taa na watu walilala sisi tulikuwa tukaa siti za nyuma kabisa ambapo mbele siti kama nne kulikuwa hakuna mtu,Yule binti nahisi alikuwa jini
 

Dah mpaka inatia hamasa.


Hii ni kimbia ukianguka inuka vumilia kimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…