Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji121]mpaka leo sijawahi kuvaa au kutembea nusu utupu... aisee najiona mwamba sana
Hahahaaa mie sio mtu wa mchezo mchezoSio vizuriiiiiiii
Sawa bwanaHahahaaa mie sio mtu wa mchezo mchezo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hajambo mimi hapa?Sawa bwana
Ebu weka sura yako hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliweza kumuacha mwanamme niliyempenda kwa dhati maana hakujali hisia zangu. Kila nikitaka kumuacha roho inaniuma maana nimemzoea sana, ila nikapata ujasiri wa ajabu nikamuacha aendelee na maisha yake hadi leo huwa haamini kabisa anabaki kunitumia visms vyake eti ooh kama na mimi nimebadilika basi hakuna mwanamke mtulivu chini ya jua. Majibu yangu ni mepesi tu nilimpenda kwa moyo wote lakini hakuthamini upendo wangu kwake hivyo asinizeeshe kwa mawazo. Hivyo mie ni jasiri balaa, naelewa nini nataka sipelekwi hovyo hovyo.
Mie nina sura ya kikauzu balaa. Nikimtazama mtoto kama alikuwa analia basi atanyamaza na kulala papo hapo.Ebu weka sura yako hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gud njoo unipende mm sasaNiliweza kumuacha mwanamme niliyempenda kwa dhati maana hakujali hisia zangu. Kila nikitaka kumuacha roho inaniuma maana nimemzoea sana, ila nikapata ujasiri wa ajabu nikamuacha aendelee na maisha yake hadi leo huwa haamini kabisa anabaki kunitumia visms vyake eti ooh kama na mimi nimebadilika basi hakuna mwanamke mtulivu chini ya jua. Majibu yangu ni mepesi tu nilimpenda kwa moyo wote lakini hakuthamini upendo wangu kwake hivyo asinizeeshe kwa mawazo. Hivyo mie ni jasiri balaa, naelewa nini nataka sipelekwi hovyo hovyo.
Hahahaaa bado nipo nipo kwanza.Gud njoo unipende mm sasa
Hata kimin hujawah vaampaka leo sijawahi kuvaa au kutembea nusu utupu... aisee najiona mwamba sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]umwamba ni sisi tunaotembea bila chupi
Ahahah kausha bhana....njoo pm tuyajenge bas mremboHahahaaa bado nipo nipo kwanza.
Mimi mpaka kesho najiona jasiri mno maana nikikumbuka niliyopitia Nina kila sababu zakujiona jasiri
Iko hivi mwaka 2013 nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho udom nilidisco, hakuna kipindi kigumu ambacho nimewahi pitia kwenye maish yangu kama hiki kiukwel mpaka kesho huwa sijuagi kwanini lile jambo lilitokea
Sina historia ya kufail maisha yangu yote nimekuwa na performance nzuri sana tangu primary school mpaka chuo ila nikiwa first year nilipata sup somo moja, nilicarry ilo somo mana sikupenda nipate kalai hapo ndipo balaa lilipoanza sitokaa nisahahu mana tangu nicarry lile somo matokeo yakitoka kwangu empty fatilia jamaa hawakuwa serious kabisa na maisha yetu wanapiga danadana na Mimi nikaona ah kwasababu huyu ndo mwalimu wa somo na ni HOD atarekebisha mana ndo zilikuwa story zake hizo mwaka wa pili ukakatika fresh matokeo yangu yanapendeza,mwaka wa tatu pia ukakatika matokeo fresh ikumbukwe iyo ndo ilikuwa sup pekee ambayo niliwahi ipata na GPA yangu ilikuwa kubwa mno japo nilikuwa Nina kimeo,
Nikiwa home nasubiri confirm graduation naangalia matokeo bado ikabidi nirudi kwa jamaa namwambia anasema aah mbona fresh nenda nakuwekea matokea ndugu zangu naomba kusema nilichokutana nacho mungu ndo anajua mpaka Leo ninaishi ni kwa neema na upendo wake mana ilifika mahali nilitamani nijiue kabisa sikuwa waza kama itakuja tokea siku nikapata pigo kubwa kama lile nilikata tamaa kabisa nikiangalia rafiki zangu, wazazi wangu nilikuwa nawaza kuanza maisha sasa badala yake nikawaza ntaanzaje upya tumaini likapotea nikadhoofika mwili vidonda vya tumbo,pressure nikawa naumwa kila nikienda Pima naonekana sina tatizo nyumbani hapakukalika kabisa
Mungu ni mwaminifu mama yangu alinitia moyo sana hakuniacha kabisa yeye ndio MTU pekee ambaye aliniami na mpaka kesho ananiamini,simlaumu baba yangu kwa hasira alizokuwa nazo juu yangu kwa sababu naelewa maumivu aliyoyapata gharama alizopoteza Leo nakuja muaibisha kiashi kile hali ilikuwa mbaya wadau, mama yangu alikuwa na Mimi bega kwa bega akaniambia mwanangu wewe ni mshindi inuka usonge mbele nilipata nguvu za ajabu mwaka ule ule nikaapply chuo hatimae Leo nimegraduate nimetimiza ndoto zangu sasa Nina pambana na maisha mtaani kwa nguvu zaidi ya ile niliyoinuka NAyO wakati nimedondoka huu ni ushindi mkubwa kila MTU akikutana na Mimi ananiuliza nimewezaje kwanza wanashangaa lakini nimejifunza ukidondoka unachotakiwa kukifanya ni kuinuka na kusonga mbele usipofanya hivo watakumaliza kabisa kabisa.
Mwisho niseme tu mungu awabariki sana wazazi wangu kwa michango yao bila wao Mimi nisingelifikia Leo ndoto zangu muishi maisha marefu ili mje kula mataunda ya jasho langu.