Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu upambane kuacha nyeto kwa sababu gani? Kwani inakugharimu sh ngapi?Nyeto imewatesa wengi Sana.Uzuri Mimi nilistuka mapema kabla sijawa addicted 😂
Kuna kiumbe kalike ....Umemuona ?.Nyeto imewatesa wengi Sana.Uzuri Mimi nilistuka mapema kabla sijawa addicted 😂
Ulistukaje wewe wacha uwongo 🤣🤣🤣🤣Nyeto imewatesa wengi Sana.Uzuri Mimi nilistuka mapema kabla sijawa addicted 😂
Kwa hiyo ulikuwa mtu wa gg au over 2.5?Kubeti
Tafuta mraibu mmoja wa nyeto akupe mkanda mzimaSasa mtu upambane kuacha nyeto kwa sababu gani? Kwani inakugharimu sh ngapi?
Wee acha kabisa😂😂Kwa hiyo ulikuwa mtu wa gg au over 2.5?
Nilijua hii kitu itakuja kunilemaza nikapiga chini haraka sanaUlistukaje wewe wacha uwongo 🤣🤣🤣🤣
Nimemuona, lakini amekataa kuamini Kama niliachana na hiyo tabiaKuna kiumbe kalike ....Umemuona ?.
Ila pepsi baridi tamu kweli kweliKunywa pepsi
Aisee basi wee nomaNilijua hii kitu itakuja kunilemaza nikapiga chini haraka sana
Yeah ilikua kila siku lazima ninywe pepsi moja sahiv nimefanikiwa kuachaIla pepsi baridi tamu kweli kweli
Sasa leo mndengereko wa ulaya tumpe mazima au u2.5?Wee acha kabisa😂😂
Hongera. Mie ilikuwa cocacola...aisee daily lazima nigonge hiyo kituYeah ilikua kila siku lazima ninywe pepsi moja sahiv nimefanikiwa kuacha
umeamua uhamie kwenye konyagiKunywa pepsi
Nishatoka huko,. Nimedelete na accounts zote kuanzia betway, sport pesa , parimatch😂😂😂Sasa leo mndengereko wa ulaya tumpe mazima au u2.5?