Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Mademu ni kama nataka kufanikiwa hivi kuacha. Mnato anaonipa yule Muhaya vimefanya nione mademu wengine ni takataka tu
 
Yeah ilikua kila siku lazima ninywe pepsi moja sahiv nimefanikiwa kuacha
Kipindi hiki Cha baridi huwa nafanikiwa kuacha, ila joto likianza tu narudi kule kule😂😂😂
 
Na ni Kweli nilikuwa naombaga kabisa Mungu anikumbuke, mpaka alipoamua kunikumbuka rasmi 2013. Nikasahau kabisa habari za udongo na mchele. Cause how on Earth mtu unakula haya? 😅😩

Watu wanazungumzia supplements?? Mi mbona nimekula sana supplements enzi hizo shuleni najulikana kabisa yule anakujaga na dawa sijui anaumwa nini 😂na bado cravings za udongo hazikuisha, hadi zilipoamua zenyewe ziishe.

Ntakuombea sweet, omba na wewe.
Supplements za nini jamani upo shuleni 🤣🤣

Yan mchele 😩😩 kwa kweli Mungu aingilie kati..
 
Nilikuwa naambiwa nina upungufu wa madini chuma dada.
Ah hiyo ipo wanasema kwamba ukicrave vitu vya ajabu unakuwa na huo upungufu. Nani sasa ana muda wa kunywa folic na yule mwenzake kama mjamzito😂😂😂
 
Nilikuwa kidato cha 2 mwaka 2000, kuna siku tukiwa school jamaa zang wakawa wanapga story za nyeto. Mm nilikuwa sijui kabisa inshu hizo. Bas nikawauliza washikaji hyo nyeto ndo n? ( ingawa kipindi hicho iliitwa puli) bas jamaa wakaniambia siku ukiwa inaoga bas Paka sabuni mkononi then fanya kama unapka kweny uume halaf vuta picha ya demu mkali unayemkubali. Bas siku hyo jion mwanaume chap nikazama bafuni kuoga, faster nikachuka sabuni huku navuta picha ya mdada flan ivi tulikuwa tunasoma nae bas naona dude linavimba hatari huku najichiua na sabuni, aiseee! raha niliyopata ilikuwa noma sana( sikuwa nimewahi kufanya mapenzi zaid ya zile za kushikana shikana tuu na demu).

Bas nikaona haaa kumbe ndo njia rahisi ivi ya kumaliza hamu zang halaf haina gharama kabisaaa. Bas huu mchezo niliupenda sana na ikafikia kipindi nikiwa na hamu kama nipo mazingira mazur tuu napaka mate namaliza chap.

Nyeto ukishamaliza unajuta sana sijui kwanini, bas toka 2000 mpka 2002 namaliza cha four mm ndo mishe zang hizo.

Sasa kuna changamoto nilikutana nayo ingawa nilikuwa sijui kama naanza kupata madhara ya nyeto, mfano nikiwa na mwanamke ile kitendo cha kufanya romance tuu mm wazungu hao kitambooo sana halaf mbo.. haiamki tena mm nilichukulia pouwaa tuu.

Yaan naweza kukaa na demu tu halaf nikaweka mkono wang kweny paja lake na hapo kavaa nguo zake tu, mm hapo namwaga wazungu wang shwaaaaaa!

Bas 2003 nikawa nipo home tuu baada ya kumaliza school ila nikaanza kusikia kwa watu na Redion hasa kipindi cha radio one usiku sijui kiniaitwaje kwa sasa, bas nikaanza kuogopa na nikaanza kupunguza kupga nyeto ingawa bado niliendelea

Mwaka 2004 nikaenda chuo kusoma hapo nikapunguza kabisa na hii ilitokana na mazingira ya chuo yalikuwa yapo tait halaf tunaishi boarding. Sasa kuna kisa cha demu mmoja tulikuwa tumeenda wote field tukawa tumezoeana sana. Sasa siku bwana kweny story za hapa na pale tukajikuta tumeanza kupgana denda na kushikana shikana, aiseee nilipiz chap nikiwa tuu kweny romance, dem anataka kushika mbo.. anakuta mji maji aiseee demu alimaind sana na tang siku hyo hakutaka mazoea na mm.

Kiukwel nna matukio mengi sana yanayofanana na hayo ni mengi mno sana tuu.

Bas baada ya hapo nikaona hapa napaswa kuacha na jambo lingne nilikuwa napenda sana kuangalia movie za x. Mzee ukianglia x huchomoi kabisaa lazma upge nyetooo.

Bas nikaanza kuacha kuangalia movie za x pamoja na kuacha kusoma hadithi za mapenzi.

Bas wakat wote bado sijwahi kutia demu na hapo nilikiwa naenda 23. Bas baada ya kumaliza chuo nikapata kaz ya serikali nikapngwa bushi hatar.

Kufika Bush nikapata kademu, angalau huyu niliweza kuingiza ingawa ndo nilichukua sekunde 30 wazungu hao. Demu huyu baada ya hapo hakunitaka tenaaa.

Vijana nyeto inatesa sana hasa katika mahusiano ingawa ni starehe ya faster ile kwa baade inakutesa sana sijajua kwa wengne inakuwaje.

Bas nikajitahd sana kuacha japo inatokea siku tuu ukiamka asubuh au jion ukiwa una hamu kuna shetani kanakuvaa unajikuta tayar. Bas 2008 nikaingia kweny mahusiano rasmi na binti mmoja tukawa tunapga show ingawa tulikuwa tunaishi tofaut. Sasa kwa kuwa nipo mbali nae nikawa napga nyeto Mara moja moja sana.

Nikienda kwa demu wang sometimes unakuta mbo.. imelegea legea tuu yaan mpka uvute hisia kali sana na hapo hauchukui round wazee hao. Demu wang kaanza kumaind sana kuwa nna shida gani? Yy mwnyw akajiongeza kaniambia Acha nyeto aiseee. Ikabid nimshirikishe hilo jambo bas na yy akanishaur sana niache nyeto

Bas baada ya hapo mm mwnyw nikadhamiria kuacha mwenyewe kuacha nyeto. Wakuu jambo ukiamua kwa dhati ya moyo hakika kabisa unafanikiwa kabisaa. Mm nimefanikiwa kabisa kuacha kujichua na mpaka sasa napga show fresh kabisaa.

NIMEACHA KUJICHUA KABISAAAA NA SITAKAA NIRUDIE HII KITU
 
Asee pooltable hii imenimalizia hela bro kila nikiona pool table kazi naacha nachukua stiki hata siku itaisha
 
Back
Top Bottom