Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Mpaka sahv kwa comments zilizopo, matokeo ni
76' Nyeto 3:1 Kubeti
Posession
Nyeto 82% kubeti 18%
GG imeshatoa

Anyway me mwenyewe bado napambana na nyeto nimeoa nna watoto 2 lakini naishi nayo, sasa hayo madhara wanayozungumzia ni kwa wale wanaotumia super glue kupigia nyeto au?
🤣🤣🤣🤣 Wee jamaa bwana
 
Soda(Pepsi)
Nilikuwa nakunywa kusipo idadi...
Ila kwa sasa nimeacha kama siyo kupunguza..
Kuna mwamba alikuwa anapiga kwa siku karibia kreti anakisukar now,,,unajua soda ina wastan wa vijiko vidogo tisa vya sukari

Kiukweli kabisa walau kwa wiki unywe soda moja
 
Addiction zote nilikuwa nazo ambayo naidhibiti ni kunywa bia tu na ni kwasababu imani inakataa na pia mchumi sana napitisha miezi hata 2 au 3 nakunywa 1 au 2 tu then miezi

Ila nyee aaa wapi hili bado janga

Kubet nimeishinda 100%
 
Kutongoza wadada,yaan Kila anaenisogelea namwaga selaa.Siku hizii zinapita wikiii
 
Kushabikia mpira.
Siwazi kuifaidisha dstv nilipie bundle la bei ili nione mpira
 
Kula udongo.
Niombe basi na mimi niache kutafuna mchele, niache kusikilizia harufu ya vumbi ikipata tumaji kidogo 🤣🤣

Udongo nakula nikiwa Dar, nikiwa nje na hapo sipati craving nao. Hii kitaalamu haieleweki kabisa 😁😁
 
Niombe basi na mimi niache kutafuna mchele, niache kusikilizia harufu ya vumbi ikipata tumaji kidogo 🤣🤣

Udongo nakula nikiwa Dar, nikiwa nje na hapo sipati craving nao. Hii kitaalamu haieleweki kabisa 😁😁
Na ni Kweli nilikuwa naombaga kabisa Mungu anikumbuke, mpaka alipoamua kunikumbuka rasmi 2013. Nikasahau kabisa habari za udongo na mchele. Cause how on Earth mtu unakula haya? 😅😩

Watu wanazungumzia supplements?? Mi mbona nimekula sana supplements enzi hizo shuleni najulikana kabisa yule anakujaga na dawa sijui anaumwa nini 😂na bado cravings za udongo hazikuisha, hadi zilipoamua zenyewe ziishe.

Ntakuombea sweet, omba na wewe.
 
Back
Top Bottom