Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wee ulikuwa kiboko. Hongera.Nishatoka huko,. Nimedelete na accounts zote kuanzia betway, sport pesa , parimatch😂😂😂
BandoSasa mtu upambane kuacha nyeto kwa sababu gani? Kwani inakugharimu sh ngapi?
Tariq ndiyo ka-likeKuna kiumbe kalike ....Umemuona ?.
Ninachoshukuru Mungu sijatoka hivihivi😃,. Nimejipatia zangu shamba saizi aaaahKweli wee ulikuwa kiboko. Hongera.
So hela umewekeza wapi
Ulime sasa....nipe kazi nije kulima shambani kwakoNinachoshukuru Mungu sijatoka hivihivi😃,. Nimejipatia zangu shamba saizi aaaah
Mda wa kuvuna saizi mkuu,. Subiri mwakani nitakupa kazi😂Ulime sasa....nipe kazi nije kulima shambani kwako
😁😁😁😁Aisee, nimeuacha mzigo mmoja ulikua na matako siyo ya dunia hii, kwanza alikua anajua mapenzi pili mapenzi yanamjua, tatu hana invoices, mwisho alikua nataka ku-settle kabisa mazima. Wazee wa kataa ndoa wameniokoa, aisee utamu ungeniua mapema
Haaaa haaaa.Nyeto imewatesa wengi Sana.Uzuri Mimi nilistuka mapema kabla sijawa addicted 😂
Kuswali mara kwa mara.Nazungumzia Addiction yoyote ambayo ilikuendesha kiasi kwamba ukaamini hautoweza kuacha lakini mwisho wa siku umefanikiwa kuacha.
Kupiga nyeto unatumia bando?Bando
Kwamba anatumia may be laki mbili kwa mwezi kupiga puli au anamaliza mche wa sabuni!Tafuta mraibu mmoja wa nyeto akupe mkanda mzima
Hii kitu naomba Mungu ipite kushotoKununua utelezi
Sema namnukuu msanii whozu
O mai gadi kila nikitaka kujenga nikigeuka kushoto mali safi😁😁😁
BiahNazungumzia Addiction yoyote ambayo ilikuendesha kiasi kwamba ukaamini hautoweza kuacha lakini mwisho wa siku umefanikiwa kuacha.
Nani amekuambia nyeto inamtesa?Nyeto imewatesa wengi Sana.Uzuri Mimi nilistuka mapema kabla sijawa addicted 😂