Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Aisee, nimeuacha mzigo mmoja ulikua na matako siyo ya dunia hii, kwanza alikua anajua mapenzi pili mapenzi yanamjua, tatu hana invoices, mwisho alikua nataka ku-settle kabisa mazima. Wazee wa kataa ndoa wameniokoa, aisee utamu ungeniua mapema
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom