Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

Nyeto imewatesa wengi Sana.Uzuri Mimi nilistuka mapema kabla sijawa addicted 😂
Hio stage ukiendekeza unashangaa unakua nayo nyeto mbaya xnaa aisee.kuna jamaa angu tushamkutaga kaingia bafu na laptop
 
Aisee, nimeuacha mzigo mmoja ulikua na matako siyo ya dunia hii, kwanza alikua anajua mapenzi pili mapenzi yanamjua, tatu hana invoices, mwisho alikua nataka ku-settle kabisa mazima. Wazee wa kataa ndoa wameniokoa, aisee utamu ungeniua mapema
Akina Nani nyieee ..sisi ndio mabechelor * Ngoma ya ney hio sikiliza kutwa Mara tatu itasaidia kutoa mawazo ya ndoa mkuu
 
Nilijua maisha bila ajira ya yule boss mwenye roho mbaya sitoboi ..haamin mpaka leo tunakutana kwenye platforms tofauti tofauti kama wajumbe au walikwa tunakaa ukumbi mmoja ..training moja maisha haya bana isijikatie tamaa
 
Mpaka sahv kwa comments zilizopo, matokeo ni
76' Nyeto 3:1 Kubeti
Posession
Nyeto 82% kubeti 18%
GG imeshatoa

Anyway me mwenyewe bado napambana na nyeto nimeoa nna watoto 2 lakini naishi nayo, sasa hayo madhara wanayozungumzia ni kwa wale wanaotumia super glue kupigia nyeto au?
 
Aisee, nimeuacha mzigo mmoja ulikua na matako siyo ya dunia hii, kwanza alikua anajua mapenzi pili mapenzi yanamjua, tatu hana invoices, mwisho alikua nataka ku-settle kabisa mazima. Wazee wa kataa ndoa wameniokoa, aisee utamu ungeniua mapema
Daaa jambo lako limefanana na la kwangu. Kwa kweli ni Mungu tu ndio alinitoa kwenye hicho kitanzi
 
Back
Top Bottom