Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

Kama uwezi kaa kimya mjibu "poa poa" , "sawa sawa" baada ya kaa kimya
 
Tafuta watu wazma 30+ achana na watoto.
 
Usimjibu

Akituma ujumbe wa kukuacha kula buyu endelea na maisha yako...lazima ataumia tu
Na hili ndo tatizo. Mashindano ya kuumizana😂😂. Anayeumia hapo anajikaza asionyeshe anaumia ili mwenzake asishinde halafu unajikuta umepoteza muda mrefu kwenye igizo, ukija shtuka mmoja wenu alishamove on halafu mwingine maumivu yanaanza upya.

MM NAKUSHAURI KAMA UNAMUHITAJI MWITE KAA NAE CHINI MUULIZE CHANGAMAOTO KISHA ZITATUE. ZIKIWA HAZITATULIKI MNAVUNJA MAHUSIANO HAPO HAPO MAISHA YANAEMDELEA BILA MAIGIZO.
 
nilikuwa najifanya kuomba sana kurudiana na wadada wanaotaka kuniacha na sikuwahi kufanikiwa, kumbe suruhusho ni dogo hivi.
 
Afadhali wewe Mimi Kuna chura mmoja aliniacha kipindi kibaya ila mie nilichelewa kuusoma mchezo. Mwaka 2016 nilipatwa na matatizo ya kiafya, nikamfahamisha huyu mshirika wangu wa kitandani,akaniangalia kwa dharau akaniambia huu utakuwa ukimwi tu nenda kapime uanze kula dawa. Kesho yake nikaelekea hosp temeke kufanya checkup ya Tatizo linalonikabir, nikapewa ref kwenda muhimbili sababu vifaa vya kupima vilipata hitirafu. Basi kidume siku ya Pili asubuhi na mapema nikaelekea muhimbili,nikafuta taratibu zote nikapangiwa kuja kupima baada ya wiki moja, siku ilivyokaribia nikamjurisha huyu kiumbe akasema poa na nitakusindkiza, wakati naelekeha hosp nikampigia simu akasema yeye kashafika muhimbili, yaani msindikizaji kawahi kabla ya mgonjwa. Basi Mimi nilifika nikampigia tena simu nijue yuko Wap, Mara ananiambia yuko geti la kuingilia nilifika getini Mara nipo mapokezi nikifka mapokezi simuoon oh karibu na ward fulani Ina maana union au unanifanyia makusudi tu. Nikaona sio kesi nikamtumia SMS ya neno moja tu ASANTE. Basi mie nikapiga simu kwa ndugu na Jamaa niko sehemu gani,nikaingia maabara nikapimwa nikapewa majibu nikarudi home. Hiki kindezi kikanipigia simu usiku ili kujua hali yangu mie nikamjibu Asante,akaja maghetoni chochote akiniuliza na mJibu asante. Kwa mwendo ukawa huohuo akinicall au akini SMS mie namjibu Asante kisha napiga kimya, mwisho akakata mawasiliano na Mimi, baada ya miezi miwili a kapata ajari ya bodaboda yeye akiwa na basha wake, alivunjika miguu na mtu wake alipoteza maisha hapo hapo.cha kushangaza ananitangazia kwa watu mie mchawi nimemroga.
Ulimroga kweli wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na hili ndo tatizo. Mashindano ya kuumizana[emoji23][emoji23]. Anayeumia hapo anajikaza asionyeshe anaumia ili mwenzake asishinde halafu unajikuta umepoteza muda mrefu kwenye igizo, ukija shtuka mmoja wenu alishamove on halafu mwingine maumivu yanaanza upya.

MM NAKUSHAURI KAMA UNAMUHITAJI MWITE KAA NAE CHINI MUULIZE CHANGAMAOTO KISHA ZITATUE. ZIKIWA HAZITATULIKI MNAVUNJA MAHUSIANO HAPO HAPO MAISHA YANAEMDELEA BILA MAIGIZO.
Kama nimekuelewa hivi, coz kipindi unavunga haujaumia Ili eti umuumize yeye, kumbuka yy hd anakutolea nje alishajipanga so maumivu kwako yako pale pale
 
hata wanaume wakiona wanapendwa wanaleta madharau, muhimu fanya yako ww temana nae kaa kimyaaa usmjibu msg wala callz zake.
 
Mambo mengi ya nini. Kama ni mfugaji angalia faida. Kula kidogo kiwingu mdogo maji makubwa na pilipili mbuzi kisha kula uone kama itamkumbuka
 
Mwandikie barua kwenye toilet paper umtumie...
 
Back
Top Bottom