Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Nimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..
 
Nikiitwa Kigogo huyo nimesoma nae Primary nilikuwa dictionary

Nikiitwa Cobra ujue A level mkali wa Economics

Nikiitwa The Only One ujue memory ya ukali wa class nikiwa chuo Mukono Christian University.

Bwax ni nickname ya kupenda Pilsener Larger mitaa ya Jinja na Mukono lively flashbacks

🙏🙏🙏 Remembering all my lovely legends
 
Wanangu wote tupo jeiefu,nikisema tu watajua,ni wawili tunafahamiana hadi ID zetu hapa 😀😀
Jina lako silikumbuki ila najua asili yake naweza vuta picha, na features nakumbuka in fact nikikutana na wewe nitakujua tena.
mkwepu jr naamini niliwahi muona navuka Kigamboni miaka kadhaa nyuma.

JF nikikutana na watu wake huwa nachukulia kawaida sababu wa mtaani ndio haohao wako humu.
 
mh! Jizibue mwenyewe..
 
Ko me ninavyokuita tajiri ni mnafki wa faida sio jirani yako tena? 🤣🤣🤣🤣
 
Dakitari - sekondari
Pope - chuo kikuu
Tlaatlaah - JF
Zakawi - Baghdad Iraq
 
Nikiitwa Mtaleban najua hawa nimekutana nao chuo
Nikiitwa mwamedi hawa ni ndugu zangu( wajomba au shangazi)
Niikitwa kaka mudi najua hawa ni madogo zangu
Niikitwa binlade mtu mbadi hawa wana wa mtaani kwangu hasa bajaji na bodaboda
Niikitwa Shekhe hawa watu wa masjid
Nikiitwa kaka midevu hawa ni majirani zangu na nilipopanga hasa wamama na wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…