Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
[emoji23]THREADS 1,794,034
POSTS47,542,393
Kaiona hii moja tuliyopo
Hatareee [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu anataka niwe single maza hana nia nzuri na me kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]THREADS 1,794,034
POSTS47,542,393
Kaiona hii moja tuliyopo
😂 mi nishalimaliza hilo kibingwaMod wa mchongo katufukuza jukwaani [emoji1787][emoji1787]
Anataka twende piem tukatibuane tuje kuanzisha uzi watucheke [emoji23][emoji23][emoji23]
Achana nae na habari ya hayo iishie hapa Lamama.Hatareee [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu anataka niwe single maza hana nia nzuri na me kabisaa
[emoji23] mi nishalimaliza hilo kibingwa
Pumbavu kabisa wewe. Mi nitumwe kwenye huo usenge wenu. Usinivunjie heshima wewe dada. Nimewshauri ila usinishirikishe kwenye upuuzi wenu.Utakuwa umemtuma kijanja![]()
![]()
![]()
Utakuwa umemtuma kijanja [emoji23][emoji23][emoji23]
Limeisha hilo au mpaka akupige 😂Hatuendi piem tubaki hapa hapa jirani [emoji23][emoji23]
Huyu katumwa sio bure [emoji1787][emoji1787]
Aiseeee, msiniingize kwenye huu upuuzi wenu. Sitaki na mkome.Limeisha hilo au mpaka akupige 😂
Pumbavu kabisa wewe. Mi nitumwe kwenye huo usenge wenu. Usinivunjie heshima wewe dada. Nimewshauri ila usinishirikishe kwenye upuuzi wenu.
Limeisha hilo au mpaka akupige [emoji23]
Hapana, sitaki mazoea na wewe. Msiniingize kwenye haya mambo yenu. Niliwashauri kama mnaendelea endeleeni ila msiniingize. Mnanikwaza. Yaani mimi huyo lofa anitume kwako. Umenidharirisha na kunikwaza sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetoa dislike mpk umechoka
Haya kunywa maji mengi upumzishe fuvu
Nimesema msinishirikishe. Endeleeni na mambo yenu. Sitaki usinilazimishe dada yangu. Tuheshimiane mkuu.Anipige na dislike labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili jamaa jinga lina mihemko kufatilia vitu visivyomuhusu afu halijifichi
Hapana, sitaki mazoea na wewe. Msiniingize kwenye haya mambo yenu. Niliwashauri kama mnaendelea endeleeni ila msiniingize. Mnanikwaza. Yaani mimi huyo lofa anitume kwako. Umenidharirisha na kunikwaza sana.
Naona umepewa assignment na mabwana zako wa Y-Ti-AUC ili uje utuchunguze, kisha uanze kufuatilia jina halisi wale wote wanaopinga DP- Dubai na Minara ya CM inayosema karibu Dubai wakati tupo ndani ya hifadhi ya ngorongoro, ili C-MU zao zishikiliwe kunako Poryc_Post, ili waanze kukamatwa wale wote, kwa kisingizio cha matumizi ya VPN.Natumai mko poa Wakuu,
Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.
Kwa mfano;
- Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
- Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
- Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
- Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
- Akiniita MoroGent - Tumekutana JF
Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?
Kazi kwenu wakuu.
Achana nae huyo sina muda na mambo yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we lofa Half american emu njoo huku, kumbe we lofa na husemi??
Jamaa yake mshamba huyo nishamjua 🤣🤣🤣Achana nae huyo sina muda na mambo yake.
Achana nae mpotezeeJamaa yake mshamba huyo nishamjua 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Achana nae mpotezee
Bado unanifuata fuata sio?Jamaa yake mshamba huyo nishamjua 🤣🤣🤣
😁😁 emu nitaje jina nioneTumekufahamu sisi wa Mpanda Mjini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] mkuu umetishaaNaona umepewa assignment na mabwana zako wa Y-Ti-AUC ili uje utuchunguze, kisha uanze kufuatilia jina halisi wale wote wanaopinga DP- Dubai na Minara ya CM inayosema karibu Dubai wakati tupo ndani ya hifadhi ya ngorongoro, ili C-MU zao zishikiliwe kunako Poryc_Post, ili waanze kukamatwa wale wote, kwa kisingizio cha matumizi ya VPN.
Wewe acha uboya mimi wakati nasoma shule ya msingi Gongagonga nilikuwa naitwa Man-Filandu baadae nikahamia shule nyingine ya msingi Nanyumbu ilikuwa inaitwa Mkongo wa farasi Dume ila hiyo shule sasa hivi haipo.
Anza sasa kazi yako [emoji21][emoji21][emoji21]