Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Utakuwa umemtuma kijanja
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Pumbavu kabisa wewe. Mi nitumwe kwenye huo usenge wenu. Usinivunjie heshima wewe dada. Nimewshauri ila usinishirikishe kwenye upuuzi wenu.
Utakuwa umemtuma kijanja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetoa dislike mpk umechoka
Haya kunywa maji mengi upumzishe fuvu
Hapana, sitaki mazoea na wewe. Msiniingize kwenye haya mambo yenu. Niliwashauri kama mnaendelea endeleeni ila msiniingize. Mnanikwaza. Yaani mimi huyo lofa anitume kwako. Umenidharirisha na kunikwaza sana.
 
Anipige na dislike labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili jamaa jinga lina mihemko kufatilia vitu visivyomuhusu afu halijifichi
Nimesema msinishirikishe. Endeleeni na mambo yenu. Sitaki usinilazimishe dada yangu. Tuheshimiane mkuu.
 
Hapana, sitaki mazoea na wewe. Msiniingize kwenye haya mambo yenu. Niliwashauri kama mnaendelea endeleeni ila msiniingize. Mnanikwaza. Yaani mimi huyo lofa anitume kwako. Umenidharirisha na kunikwaza sana.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we lofa Half american emu njoo huku, kumbe we lofa na husemi??
 
Natumai mko poa Wakuu,

Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.

Kwa mfano;
  • Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
  • Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
  • Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
  • Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
  • Akiniita MoroGent - Tumekutana JF

Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?

Kazi kwenu wakuu.
Naona umepewa assignment na mabwana zako wa Y-Ti-AUC ili uje utuchunguze, kisha uanze kufuatilia jina halisi wale wote wanaopinga DP- Dubai na Minara ya CM inayosema karibu Dubai wakati tupo ndani ya hifadhi ya ngorongoro, ili C-MU zao zishikiliwe kunako Poryc_Post, ili waanze kukamatwa wale wote, kwa kisingizio cha matumizi ya VPN.

Wewe acha uboya mimi wakati nasoma shule ya msingi Gongagonga nilikuwa naitwa Man-Filandu baadae nikahamia shule nyingine ya msingi Nanyumbu ilikuwa inaitwa Mkongo wa farasi Dume ila hiyo shule sasa hivi haipo.

Anza sasa kazi yako 😣😣😣
 
Anza sasa kazi yako [emoji21][emoji21][emoji21]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] mkuu umetishaa
 
Back
Top Bottom