Sio suala la dini,,israel na lebanon ni suala la mpaka na ubabe wa israel,,vile israel ilivyo ndogo,mtu akipiga filimbi wanasikia nchi nzima,,sasa lebanoni ni ndogo zaidi,inaingia mara mbili kwa israel,,ugomvi wao,israel alivamia lebanon kusini na kuikalia.
Nusu ya wakazi wa lebanon ni wakristo na hivyo kuna wapiganaji wa hezbulah wa Kikristo pia,
Rais wa lebanoni ni mkirsto na pia mkuu wa majeshi
Serikali ya lebanon inaundwa kwa sehemu kubwa na chama cha kikristo na wakishirikiana na hezbulah,
Sunni wao ni kama kambi ya upinzani huko Lebanon